Kwa akili kama hizi Africa itaendelea kutawaliwa milele. Hivi ni nani aliyewaroga waafrika??Utafiti umeufanya zaidi ya WALIBYA wenyewe waliomuua? Wewe una uchungu zaidi ya Walibya walioitwaa panya na kuwaua kabla ya majeshi ya kigeni kuingilia kati?????? Maandamano ya kumtoa Ghadafi yalifanywa na Walibya man.Wewe mTanzania umebaki kupayuka tu.
Walibya ni miongoni mwa raia wa dunia hii waliopata huduma za kijamii daraja la kwanza.
Ukweli usiopingika ni kuwa kila binadamu ana mapungufu yake, westerners ambao kwa kiwango kikubwa hawakupenda misimamo ya Gaddafi ndio walimuua Gaddafi kwa kusaidiwa na walibya wachache waliopandikizwa chuki na westerners kupitia mapungufu ya Gaddafi kama binaadamu.
Kwa hali yoyote ile unapopima uadilifu au ubora wa binadamu hatutegemei kupata 100% positive lazima kuwe na mapungufu ndivyo ilivyokuwa pia kwa Gaddafi.
Vita nyingi zinazoongozwa na wamarekani ukichunguza kwa jicho la tatu ni kwa maslahi yao na si ya watu wanaodai inawapigania. Hili utalielewa kama akili yako umeiweka huru kupokea positive thoughts tu.