Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

Muammar Gaddafi vs Nelson Mandela? Nani shujaa/mwamba wa Afrika?

  • Total voters
    244
Hatuibiwi,kuna MaPimbi ambao ni watu miongoni mwetu wanaowapa kibali hao wezi
Nin shida mkuu halta akitokea mtu akiazipigania hizi mali si watamuua tuma kama akina thomas sankara na majuzi gaddaf!

Halaf utaskia inapigania eti gaddaf alikua dikteta? Okay acha basi miarabu ifaidi ilichokua inakipigania sasa na sijui itafanyaje coz inaigana yenyewe kwa yenyewe tuu.
 
Kuna vitu inabidi uombe Mola asaidie tuu maana bila yeye Africa tulishaishia pabaya siku nying sana.
Watembea na bendera wakiamini wanatembea na utukufu kumbe wamelogwa na uchawi wa laboratory ili waangamize Africa ndio maana hawawezi elewa Gadafi alikuwa na umuhimu gani kwa Africa bila ubaguzi wowote ule sana sana wao watakuambia yule gaidi!!!
 
Acha tuu hzi dhambi ziwamalize waafrika sasa huko libya hao wananchi wanasemaje saivi?
 
Mkuu mwaga point siyo ushabiki
Sioni haja wala sababu ya KUTIRIRIKA...!!

Ni kwanini nipoteze Muda...!?

Mpaka Kiongozi wa Mapinduzi, Colonel M. Ghadafi anauwawa, hali ya uchumi wa Nchi na Raia mmoja mmoja ilifahamika...

Jaribu kulinganisha Mazingira aliyo acha (kiuchumi) na Mataifa mengine, utajua ni nini NAMAANISHA...

NB: WEKA USHABIKI NA UDINI PEMBENI.
 
Mkuu nipo vizuri kuliko wewe, kwa akili yako ya Kiccm Libya ina maendeleo kuliko hata USA? shame on you
Maendeleo ni dhana pana sana lakini kwa ufupi tukizungumzia upande wa utoaji wa huduma za kijamii na kuboresha Maisha ya watu USA mwenyew hagusi kwa Scandinavian countries km Sweden,Norwey,Switzerland ndo maana zinaongoza hata life expectancy na Amani duniani.Marekani huduma ni nzuri ila kama huna pesa huna Chaka........nakushinda ata mm std 7 leaver shame on you[emoji3]
 
Uvivu wa kufanya tafiti na western ideology ndo tatizo lako
Utafiti umeufanya zaidi ya WALIBYA wenyewe waliomuua? Wewe una uchungu zaidi ya Walibya walioitwaa panya na kuwaua kabla ya majeshi ya kigeni kuingilia kati?????? Maandamano ya kumtoa Ghadafi yalifanywa na Walibya man.Wewe mTanzania umebaki kupayuka tu.
 
Huo mpambano si sawa. Gaddafi ni gaidi muuaji muongo aliyeua mpaka maafisa wa jeshi lake mwenyewe na kubaka wake zao. Alikuea na harem alilofanyia uchafu huku akinywa Johnnie Walker na kujidunga madawa ya kulevya.

Mapungufu yoyote ya Mandela yakipimwa na Gaddafi Mandela ataonekana mtakatifu.

Mandela mtafutie mtu mwingine wa kumpamnanisha naye. Labda Nyerere.

Si Gaddafi.
 
Maendeleo ni dhana pana sana lakini kwa ufupi tukizungumzia upande wa utoaji wa huduma za kijamii na kuboresha Maisha ya watu USA mwenyew hagusi kwa Scandinavian countries km Sweden,Norwey,Switzerland ndo maana zinaongoza hata life expectancy na Amani duniani.Marekani huduma ni nzuri ila kama huna pesa huna Chaka........nakushinda ata mm std 7 leaver shame on you[emoji3]
Sawa dingi
 
Sioni haja wala sababu ya KUTIRIRIKA...!!

Ni kwanini nipoteze Muda...!?

Mpaka Kiongozi wa Mapinduzi, Colonel M. Ghadafi anauwawa, hali ya uchumi wa Nchi na Raia mmoja mmoja ilifahamika...

Jaribu kulinganisha Mazingira aliyo acha (kiuchumi) na Mataifa mengine, utajua ni nini NAMAANISHA...

NB: WEKA USHABIKI NA UDINI PEMBENI.
Poa dingi
 
Acha tuu hzi dhambi ziwamalize waafrika sasa huko libya hao wananchi wanasemaje saivi?
Nilikuwa na rafiki yangu wa Libya aliniambia wote wanao chagua kusoma nchi za Africa chuo chochote walikuwa wanalipiwa 100% na makazi na pesa za matumizi alipo ngolewa Gadafi ndio maisha yake yaliishia ukingoni yupo libya wana laani kupita maelezo ila ndio hivyo bahati huw hairudi mara mbili watembea na bendera wakidhani wanatembea na utukufu siku wakishituka tutakuwa kwenye nafasi Libya walio nayo sasa!!!
 
..ningemshangaa kama Mwalimu angeanza kumtukuza Gadaffi kama mnavyofanya nyinyi.

Mwalimu keshatangulia mbele ya haki, hawezi kushiriki mijadala hii!!

Ila hata Mandela aliujua umuhimu wa Ghadafi ndiyo maana alisafiri mamia ya maili kwa gari jangwani kwenda kumshukuru Ghadafi kwa kufinance Independence struggles za Waafrika kusini weusi!
 
Huo mpambano si sawa. Gaddafi ni gaidi muuaji muingo aliyeua mpaka maafisa wa jeshi lake mwenyewe na kubaka wake zao. Alikuea na harem alilofanyia uchafu huku akinywa Johnnie Walker na kujidunga madawa ya kulevya.

Mapungufu yoyote ya Mandela yakipimwa na Gaddafi Mandela ataonekana mtakatifu.

Mandela mtafutie mtu mwingine wa kumpamnanisha naye. Labda Nyerere.

Si Gaddafi.
Jifunze kwanza jinsi ya KUANDIKA (kutumia simu) na kuyapangilia MANENO...

Naona/nasoma PUMBA TU katika post yako...!

JIPANGE KWANZA, RUDI BAADAE...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ninachojua Mandela kavuma sana kuliko hata wapigania uhuru wenzie, kisa tu ktk kutoka jela yee ndio wa mwisho! Na wapo waliokufa uwanja wa vita pia. Akina Solomon Mahlangu, Walter Sisulu, OR TAMBO et al.
Ongezea na Steven biko..,....huyu ni mtu.
 
Umeme bure,maji.bure,ukitaka kuoa unapewa mke,unalipiwa mahari unapewa na nyumba.kama hauna kazi unapewa hela kama posho.afya bure.
Yaani badala ya kufanya kazi unataka bure.Piga kazi baba. Ukifanya kazi utapata zaidi ya hiyo bure
 
Back
Top Bottom