and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea
Shemeji. Hivi spirit feki zinaharibuje figo?.Na wanavyopenda vya bei chee
Mkuu hizi feki wanazipiga wakina mangiWa china nao wapo, kwenye kutengeneza pombe feki
Hakuna beer fake mkuu utengenezaji wake ni gharama na faida ni kiduchuHadi wanaokunywa Bia nao zinatengenezwa feki?.
Na kama kweli unajua . Inakuwaje pombe feki inaharibu figo?.
Jamani Jamani 😅Shemeji. Hivi spirit feki zinaharibuje figo?.
Hivi Visungura nk vinaharibuje figo
kama Jack Daniel zipoo fekii nyingi sanaWageni wanaofanya kazi katika Taasisi za kimataifa na ubalozini,wakiingia Tanzania sasa hivi wanapewa angalizo hilo kua Tanzania 80% ya pombe kutoka ulaya na Marekani ni Fake...
Mkuu na wachina pia ,Mkuu hizi feki wanazipiga wakina mangi
TUBUNI na kuiamini injili....Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea
Beer Kwenye black market Haina faida Mzee,Hadi wanaokunywa Bia nao zinatengenezwa feki?.
Na kama kweli unajua . Inakuwaje pombe feki inaharibu figo?.
Ila wachaga wamezidi aisee wamenifanya niache pombe Kali aiseeMkuu na wachina pia ,