Safi sana. Jack Daniels ya Buza je?Tayari FDA ya Rwanda imepiga ban hivyo visungura vyote kutoka Tanzania si K-Vant wala Konyagi vyote marufuku.
UongoBinafsi nlikuwa simuelewi Jamaa yangu mmoja Kila akija TZ siku hizi anakuja na vinywaji vyake, hanunui pombe Kali bongo hata siku moja, anakuja na mabapa Yake from State, Sikuwahi kumuuliza maybe inaweza kuhusiana na hii mada