Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Na si unaona na vijana walivyoharibikiwa huko romboNadhani Rombo ndio wilaya inayoongoza kumiliki viwanda vingi zaidi
Na si unaona na vijana walivyoharibikiwa huko romboNadhani Rombo ndio wilaya inayoongoza kumiliki viwanda vingi zaidi
Pimbe kali ina pesa balaaNani ahangaike kuchakachua bia ili hali huku pombe kali ni spirit tu unazalisha chupa za kutosha
Wataua ndugu zetu lakini hawatamfikia muuaji Samia alivyoua watanganyika MO 29Walevi jiandaeni na kuanza dialysis. Pombe feki zinatengeneza mabilionea. Wile Karimo, Kalittle na Wachina mtaua ndugu zetu.
Zinawamaliza taratibu bila kujijua aiseTena vijana wanaona fashion
Kwa sasa siyo taratibu vijana huku mtaani wanateketea kwa kasi mbaya zaidi wanachanganya na energy wanajiona wajanja mlo wenyewe ni unga robo msosi wa kubahatisha malazi nayo shida kiufupi vijana wanapitia nyakati ngumu kuliko enzi zetuZinawamaliza taratibu bila kujijua aise
Umri gani wewe wakati ulizaliwa 1992. 😆😆😆😆Mimi siwezi kukemea biashara ya kusafirisha wahamiaji haramu hata siku moja, maana wale hapa kwetu tulikuwa tunawavusha tu hawakai
Nimeiacha hii kazi kwa sababu ya umri tu sitaki hekaheka na mamlaka
Ila hili la pombe nimeshalizungumzia sana humu na nitaendelea
Wewe ndiyo mama yangu?Umri gani wewe wakati ulizaliwa 1992. 😆😆😆😆
Je unajuwa umesababisha vifo vingapi na kuacha mateso makali kwa familia za wasomali na wahabeshi uliokuwa unawavusha kimagendo kuwaingiza msumbiji? Je unajuwa mikono yako ilivyotapakaa damu? Hilo huoni ila unaona tu watu wazima wakifurahia kunywa pombe eti inakuuma. Kijana mdogo kama wewe wa 92 umeanza ukatili wa kusafirisha binadamu hata 18 ukufika. Wee katili na huna uthubutu wa kukemea maouvu yoyote kwenye jamii.Wewe ndiyo mama yangu?
Wewe ni wa ajabu kweli wao wamekimbia machafuko kwao wamepambana wamevuka Kenya wanatakiwa waingie Mozambique one way ya kwenda bondeni haya mimi uhusika wa damu za familia zao nahusikaje?Je unajuwa umesababisha vifo vingapi na kuacha mateso makali kwa familia za wasomali na wahabeshi uliokuwa unawavusha kimagendo kuwaingiza msumbiji? Je unajuwa mikono yako ilivyotapakaa damu? Hilo huoni ila unaona tu watu wazima wakifurahia kunywa pombe eti inakuuma. Kijana mdogo kama wewe wa 92 umeanza ukatili wa kusafirisha binadamu hata 18 ukufika. Wee katili na huna uthubutu wa kukemea maouvu yoyote kwenye jamii.
Damu za watu zinakulilia endelea kuishi na laana ukisubiri hukumu.
Je unajuwa umesababisha vifo vingapi na kuacha mateso makali kwa familia za wasomali na wahabeshi uliokuwa unawavusha kimagendo kuwaingiza msumbiji? Je unajuwa mikono yako ilivyotapakaa damu? Hilo huoni ila unaona tu watu wazima wakifurahia kunywa pombe eti inakuuma. Kijana mdogo kama wewe wa 92 umeanza ukatili wa kusafirisha binadamu hata 18 ukufika. Wee katili na huna uthubutu wa kukemea maouvu yoyote kwenye jamii.
Damu za watu zinakulilia endelea kuishi na laana ukisubiri hukumu.
Dah kumbe mwamba kapitia mengi sana. Nisimuhukumu bure. Ngoja nianze kumfollow.Natumai wote mu buheri wa afya pole kwa wale wanaosumbuliwa na mara Mungu awafanyie wepesi.
Tukutane madereva tuliowahi kucheza kichapo toka kwa raia na abiria.
Mimi nakumbuka ilikuwa mwaka 1993 nimebeba abiria toka Geita kuja Mwanza gari ikazingua clutch ikabidi tukatafute fundi Sengerema mjini na kama unavyojua enzi hizo simu hakuna tukaenda kufika mjini acha tukatafute kula maji ya TBL tunarudi tuko chakari chaka tunakuta abiria wamefura balaa wakaanza kutukana mimi nikawajibu mbovu aiseee usiombe nilichezea vitasa ikabidi nilale mbele bila kupenda.
Ya pili nilichezea kichapo cha...
- Kingsharon92
- Replies: 19
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Umenikosea sana 1992 nilishastaafu hata kujaza dunia