Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

IMG_2291.jpeg
 
Hakuna beer fake mkuu utengenezaji wake ni gharama na faida ni kiduchu
Hizo ni za hawa TBL. Za kutoka nje kama heinken, wondoek ukitengeneza fake zinalipa kwa sababu bei kubwa na wenye kamouni zao uko ni ngumu kukujua. Pombe feki zipo sanasana za kutoka nje. Nimefanya kazi kwenye shirika la kimataifa wageni wanaokuja bongo huwa wanapewa tahadhari ya pombe feki
 
Oooh sawa mkuu
 
kama Jack Daniel zipoo fekii nyingi sana
Bongo nyoso kila kitu feki,nguo za michina zoote karibia famba,
Gucci,versace,Lv inauzwa 15 ya machina
Utaona majitu yamekaa mashamba mashamba yanapiga mapicha eti bata.
J Walter feke
Grants feki,J Daniel fake,vodka fake,Gordon Gin fake.
Kitu nachoamini sio famba ni maharage na mchicha,tu labda ugali 50%.
 
Mkuu na wewe pia umeshiriki kusafirisha binadamu kuwavusha msumbiji kwa hiyo una haki ya kukemea wengine.
Mimi siwezi kukemea biashara ya kusafirisha wahamiaji haramu hata siku moja, maana wale hapa kwetu tulikuwa tunawavusha tu hawakai
Nimeiacha hii kazi kwa sababu ya umri tu sitaki hekaheka na mamlaka
Ila hili la pombe nimeshalizungumzia sana humu na nitaendelea
 
Wageni wanaofanya kazi katika Taasisi za kimataifa na ubalozini,wakiingia Tanzania sasa hivi wanapewa angalizo hilo kua Tanzania 80% ya pombe kutoka ulaya na Marekani ni Fake...
 
Attachments

  • Screenshot_20260802_080754_Chrome.jpg
    Screenshot_20260802_080754_Chrome.jpg
    234.3 KB · Views: 16
Back
Top Bottom