Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

Nyie WaTz tatizo lenu hamna akili hata ya kuvukia barabara. Huwa hamjiulizi kwanin wazungu wakija Tz hawanywi pombe yeyote zaidi ya Bia za Safari, Kilimanjaro akikosa hizo atakunywa Castle au Serengeti.
Ipo hivi kwa Tz pombe zote kutoka nje ya nchi ni FAKE tena usiishie kusema ni fake bali ni SUMU zinazo tengenezwa na viwanda vya uswahilini kwa kushirikiana na wachina.
Unamkuta mtu yupo serious anajiona ana pesa anafanya showoff eti ananunua Heineken, Jagamasta, Bruto, Savannah, Hennessy...... Kwa kifupi pombe kali zote kama konyagi kvant na nyingine kutoka nje, pamoja na pombe laini za nje 99% ni FAKE/SUMU zinatengenezwa vichochoroni.
Amkeni WaTz baada ya miaka 20 mtajazana sana kufanya dialysis (na huu ugonjwa ni kitega uchumi kizuri kwa govt na watu matajiri watanunua mashines nyingi sana ili wapige pesa, just imagine mgonjwa 1 kwa mwezi ni million 10-50).
Kunyweni local bia vichwa panzi nyie
 
Waiter💁‍♀️ ongeza castle lager 6 za baridi
 
Back
Top Bottom