Tyrex
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,447
- 5,330
Bora wew mkuu huku liquid unamkuta mdada anakwambia me sinywi local beers ๐๐๐๐๐Baada ya kupita Uzi huu Mimi mnywa safari nmejiona mjanja sana
Bora wew mkuu huku liquid unamkuta mdada anakwambia me sinywi local beers ๐๐๐๐๐Baada ya kupita Uzi huu Mimi mnywa safari nmejiona mjanja sana
Wakati wazungu wakija bongo ndio bia zao, jiulize hapoBora wew mkuu huku liquid unamkuta mdada anakwambia me sinywi local beers ๐๐๐๐๐
Hiyo ndio Ina fake kuliko zotePombe inayoaminika ni Konyagi tu mengine ni mataputapu
Umewaza kama mimi.Baada ya kupita Uzi huu Mimi mnywa safari nmejiona mjanja sana
Viwanda bubu angalau kimoja kina gharim tsh ngapi mkuu?Mitaa ya Tunduma niliwahi kutana na nyagi feki, enzi za faru joni. Mpaka uijue sana ndio unaweza istukia.
Mpaka stika ya taraei wajinga watoa feki. ๐
Hiyo ndio Ina fake kuliko zote
Ngoja JamiiCheck. Aje afanye verification. Ikiwa ni kweli basi hali ni mbaya sana ๐๐Nyie WaTz tatizo lenu hamna akili hata ya kuvukia barabara. Huwa hamjiulizi kwanin wazungu wakija Tz hawanywi pombe yeyote zaidi ya Bia za Safari, Kilimanjaro akikosa hizo atakunywa Castle au Serengeti.
Ipo hivi kwa Tz pombe zote kutoka nje ya nchi ni FAKE tena usiishie kusema ni fake bali ni SUMU zinazo tengenezwa na viwanda vya uswahilini kwa kushirikiana na wachina.
Unamkuta mtu yupo serious anajiona ana pesa anafanya showoff eti ananunua Heineken, Jagamasta, Bruto, Savannah, Hennessy...... Kwa kifupi pombe kali zote kama konyagi kvant na nyingine kutoka nje, pamoja na pombe laini za nje 99% ni FAKE/SUMU zinatengenezwa vichochoroni.
Amkeni WaTz baada ya miaka 20 mtajazana sana kufanya dialysis (na huu ugonjwa ni kitega uchumi kizuri kwa govt na watu matajiri watanunua mashines nyingi sana ili wapige pesa, just imagine mgonjwa 1 kwa mwezi ni million 10-50).
Kunyweni local bia vichwa panzi nyie
Nadhani Rombo ndio wilaya inayoongoza kumiliki viwanda vingi zaidiSi kwa ubaya ila ukweli wachagga na wakurya wanaongoza kwa kumiliki viwanda bubu vya pombe feki
Viwanda bubu angalau kimoja kina gharim tsh ngapi mkuu?
Hongera sana kakaAlcohol free since January 1 2024.
As boss nikijua watakimbia nchi.๐คฃSasa mimi siwezi kufahamu mkuu! ๐
Ninachojua mie ni kwamba, kuna kuwa na wadwanzi hapo hapo kiwandani, wanauza "code" au "formula" kwa wapiganaji. Wanaichezea kidogo tuu kwenye plant bubu, na badae na ku bypass vyombo vya udhibiti; mzigo unawekwa vifungashio vile vile. ๐
Kisungurq kimewekwa jikiShemeji. Hivi spirit feki zinaharibuje figo?.
Hivi Visungura nk vinaharibuje figo