Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

Tayari FDA ya Rwanda imepiga ban hivyo visungura vyote kutoka Tanzania si K-Vant wala Konyagi vyote marufuku.
 
Binafsi nlikuwa simuelewi Jamaa yangu mmoja Kila akija TZ siku hizi anakuja na vinywaji vyake, hanunui pombe Kali bongo hata siku moja, anakuja na mabapa Yake from State, Sikuwahi kumuuliza maybe inaweza kuhusiana na hii mada
Uongo
 
Aise! Huenda ni vita vya biashara.
Lakini lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Bora kuacha pombe!
 
serikali ya wauza unga na wanywa gongo uliona wapi inaweza kudhibiti unywaji na mapombe feki? kama kimama chenyewe kinajisahaulisha mambo ya M29 kwa kula whisky tena zile kali unategemea kuna mtu atawalaani na kuwakemea kina mulokozi wa mati super brand? na ukiangalia sana hao ndio wafadhili wao wakubwa wa mbogamboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…