Mzee hapo ni kuoambana kweli kweli kuacha hiyo kitu, uraibu wowote unaumiza, nawajua walevi sababu nimeishia nao, wanangu tulikuwa tunakula bata wote ni walevi mbwa kasoro mimi na huwa namshukuru mungu katika hili, uraibu wangu ulikuwa kwenye kubeti na wanawake, aisee nilikiwa kitoombi, ika wanawake hawakuwa wanaharibu bajeti zangu kama kamari, aisee kamari niliivulia kofia, ila nilifanikiwa kuacha baada ya jaribio la kwanza kufeli.. La pili likatiki, mambo yasiwe mengi nikaoa kabisa, jumlisha kusali sali sasa hivi mwaka wa 3 huu sijacheza kamari, na toka nimeoa mpaka sasa sijapiga mechi za nje(japo hili suala kiukweli najikaza saana, bado napambana[emoji1787][emoji1787]) ila kamari nimeiweza 100%