Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Gym kwangu ndio starehe yangu pendwa lkn tangu nilivyo ambiwa nikiwndelea nazidi kuutanua moyo itaniletea shida sasa starehe nyingine sijuiUnakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi
Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
-Kufanya mazoezi
-Kuangalia Movie
-Kuchart na marafiki,
-Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
Ujumbe wako ulipataKusafiri/ road trip na bebe qali, familia, marafiki,havina mpinzani..
Nishauri bac na mimi niandikaje ili nijipatie beibe kali za Jf kama kaka yangu Zulu man🤣🤣🤣 tatizo uandishi😋
Ujumbe gani mkuu?Ujumbe wako ulipata
Kuna mwamba alikua akutafuta bhna kakuelewa zaidi ikiwa Mimi tu sijakuona yeye kakuelewaje na hajakuona😂Ujumbe gani mkuu?
Nakupimia tu hata mwandiko unaonyeshaHehehe 😃😃😃... jidanganye🤣🤣🤣
Basi sawaNakupimia tu hata mwandiko unaonyesha
🤣🤣🤣 wapi huko?Ndio kakimodo kalikokuteka ulikaongelea mahala Nini 😁😁😁?
Miujiza hiyo..Kuna mwamba alikua akutafuta bhna kakuelewa zaidi ikiwa Mimi tu sijakuona yeye kakuelewaje na hajakuona😂
😂😂😂😂Kagua nyuzi zilizopita utamuonaMiujiza hiyo..
Kanitagipo em 😄😄
🤣🤣🤣🤣Nishakugundua kumbe ndio wewe umemteka Ngosha🤣🤣🤣 wapi huko?
🤣🤣🤣 Hebu tutete alisemaje?🤣🤣🤣🤣Nishakugundua kumbe ndio wewe umemteka Ngosha
#Penseli4 huyo katafute uziwake kunaujumbe wakoMiujiza hiyo..
Kanitagipo em 😄😄
-Napenda kucheki muvi
- Napenda kucode
- Bila kusahau kutia nyeto
sinywi, sivuti, si-club, situmii KE
Kuliwa vitamu je?Napenda kula vitu vitamu 😋
😳😳😳Huyu lazima alegeeeWe baba weeh.
Si umeoa juzi tu hapo.
Tofauti tofauti kipenzi ila zisiwe za action kihivo!Series ipi shouzzz??