Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Basi mimi nipo tofauti sana na members wengi

Kwa upande wangu, kinachonipa furaha na amani ya nafsi (starehe) ni kuona napiga hatua kibiashara na KUTUNZA PESA.

Yaani nipo tayari nisisex for several months ili tu nipunguze gharama ya matumizi yangu. Inatokea sana mara kwa mara unakuta NIMEUZA 200+k lakini nakula milo 2 tu, eidha chai ya 700 na chakula cha mchana 1000, usiku napiga dash.

Hata leo nimepiga dash moja takatifu sana
 
karume tunabishana Simba na yanga asubuh mpaka asubuh ndio zetu na kashata, kahawa na kachori ndio ulevi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…