The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Huwezi kudefine starehe ni nini,Mfumo wetu wa elimu unahitaji maboresho makubwa sana. Vijana wetu hawajui kabisa starehe ni nini??
Namba 4 tunafanana.Starehe zangu kubwa
1. Mtoto wa mama mkwe - Hakuna ninachokipenda kuzidi, wakati wetu mimi nae ndio naiona thamani ya maisha.
2. Kupika chakula kizuri watu wale wafurahi
3. Mpira- Team zangu Yanga & Arsenal zikishinda ni burudani tosha.
4. Usafi- Napenda mazingira na kila kitu kiwe safi, napata amani sana.
Ogopa sa vitu vya kula ambavyo ni vitamu mdomoni ndani ni shubiri.Napenda kula vitu vitamu [emoji39]
Movie[emoji106]Kula
Kuangalia movie
Unapiga punyeto?Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi
Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
- Kufanya mazoezi
- Kuangalia Movie
- Kuchart na marafiki,
- Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
Siyo kuchart ni kuchat.Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi
Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
- Kufanya mazoezi
- Kuangalia Movie
- Kuchart na marafiki,
- Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
Acha mara mojaNapenda kula vitu vitamu 😋
Kwanini☹️?Acha mara moja
Kwa faida ya afya yako punguza vitu vitam hasa vya viwandani.Kwanini☹️?
Sijaelewa mkuuOgopa sa vitu vya kula ambavyo ni vitamu mdomoni ndani ni shubiri.
Huwa situmii mara kwa mara lakiniKwa faida ya afya yako punguza vitu vitam hasa vya viwandani.
Si ndio starehe yako, ni lazima unatumia mara nyingi kwa sababu ndio vitu unapendeleaHuwa situmii mara kwa mara lakini
Yaah, lakini sio kila siku. Naweza kukaa hata week mbili sijatumiaSi ndio starehe yako, ni lazima unatumia mara nyingi kwa sababu ndio vitu unapendelea
😁 thats the meaning of starehe….Si ndio starehe yako, ni lazima unatumia mara nyingi kwa sababu ndio vitu unapendelea
Basi sio starehe 🤣Yaah, lakini sio kila siku. Naweza kukaa hata week mbili sijatumia
Basi hiyo sio, angalia kile unachopenda kutumia sana dailyYaah, lakini sio kila siku. Naweza kukaa hata week mbili sijatumia
Uko kama mimi, napenda nature sana. Nikiona sehemu ina misitu, uoto wa asili, na maji yanatirika napata amani sana.Kufanya mazoezi ndio starehe yangu... Pia kutembea sehemu tulivu zilizo na misitu au mimea mingine
Ndio naona wewe umenimanya vyema😁 thats the meaning of starehe….
Starehe inapitaje 2 weeksBasi sio starehe 🤣