Yaani machimbo ya chakula hapa ndio Umefika πππUr mostly welcome ππ€... I have that girl best friend, yuko very active kunipa machimbo maya ya vyakula πππ.. itakua poa sana na wewe ukijoin
ππ sijui aiseeAsee kumbe tuna mtu wa liquor store hapa emu zielezee vizuri hizO wine hapo tena ukila na kande inakuaje?
Mwache afurahie maisha... boom likikata dadake si upo jamani πHaha
Haka ka kitu mdogo wangu alitaka kuiga.. tulienda sehemu bufee elf 65k per personβ self service.
akapendaβ¦. kamerudi chuo, naona kanapost Johari Rotana, nikasema wee mtoto!! Boom likikata hujamaliza miezi minne tusikusikie
we safi sanaππYaani machimbo ya chakula hapa ndio Umefika πππ
Youβve gat my heart and my soul on lock..πHebu amka usije ukakojoaπ.
Nina babe wangu humu anaitwa Zulu man
1) MademuUnakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.
Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi
Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
-Kufanya mazoezi
-Kuangalia Movie
-Kuchart na marafiki nk.
I would be lost without youβΉοΈYouβve gat my heart and my soul on lock..π
Tutupe key baharini eti?
πππ kumbe mko wengi mshamba_hachekwiAh zamani nilikua nakunywa juice club
Mara ikaanza shishaπ
Sahv mimi na shisha shisha na mimi
Smirnoff kwa mbali nisionekane nzi club
Sema club nlikua naenda mainly kwa sababu
Sasa mtu pombe sinywi unahisi nilikua naenda kufanya nini
Hapa utajaza π
People are not serious⦠kusafiri/ vacation ndo mainlyyKwa hiyo starehe pekee duniani ni pombe, muziki na sigara?
Kamjani Ka arushaaa....Good music
Movie
Masaji
Kamjani ka arusha.
Kitimoto
Halafu utakuta huli hata bakuli ukamalizaVyote kwa pamojaπ
People are not serious⦠kusafiri/ vacation ndo mainlyy