Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

Haha
Haka ka kitu mdogo wangu alitaka kuiga.. tulienda sehemu bufee elf 65k per personโ€™ self service.
akapendaโ€ฆ. kamerudi chuo, naona kanapost Johari Rotana, nikasema wee mtoto!! Boom likikata hujamaliza miezi minne tusikusikie
Mwache afurahie maisha... boom likikata dadake si upo jamani ๐Ÿ˜ƒ
 
Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.

Je kuna ukweli wowote katika hili?
We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi

Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
-Kufanya mazoezi
-Kuangalia Movie
-Kuchart na marafiki nk.
1) Mademu
2) Play Station
3) Kubeti
4) Kufuatilia Mpira wa miguu ligi mbalimbali
 
Ah zamani nilikua nakunywa juice club

Mara ikaanza shisha๐Ÿ˜

Sahv mimi na shisha shisha na mimi

Smirnoff kwa mbali nisionekane nzi club

Sema club nlikua naenda mainly kwa sababu
Sasa mtu pombe sinywi unahisi nilikua naenda kufanya nini
Hapa utajaza ๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kumbe mko wengi mshamba_hachekwi

Tumekaa palee mashangazi
Tutawachangia matibabu pale mapafu yatakaposumbua
 
Back
Top Bottom