Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
468
Reaction score
682
Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
 
Ukiwa unakunywa usichanganye pombe kama Kuna Kono Kono jizungushie kichwani
 
Back
Top Bottom