Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

Hawa ndio walipa kodi wakubwa bara bara hazijengwi kwa kunywa Fanta kubwa Pombe ina kodi 100%...
 
Yani unakunywa Gin, Wisky na bia mtu mmoja halafu siyo legendary wa hiyo sekta utakuja kufanywa vibaya na hautakunywa tena pombe maishani mwako.
Nikiwaambia mimi hawanielewi hapo bado hajapasiwa shisha yenye kila aina ya mvuganyo wa kilevi mchanganyo atajikuta amejinyea tu na hajitambui amejianyea vipi kumbe wahuni wamefyatua lock ya nyuma ikaachia chemba wazi akayamwaga mwaa
 
Siyo kweli, Pepsi au Vocacola baridi ukinywa tarumbeta tbo linajaa gas, ukianza kupiga mboli ile gas unavyopumuwa inaondowa hangover.

Fanta orange pia inakata hangover, maziwa fresh ya baridi pia yanakata hangover.
Tatizo ini ukifanya hivyo mara kwa mara ini linaanza kufa pole pole ikiwa too much unaanza kua na sumu nyingi mwilini kumbe umeshafyatua ini lako
 
Nikiwaambia mimi hawanielewi hapo bado hajapasiwa shisha yenye kila aina ya mvuganyo wa kilevi mchanganyo atajikuta amejinyea tu na hajitambui amejianyea vipi kumbe wahuni wamefyatua lock ya nyuma ikaachia chemba wazi akayamwaga mwaa
BFBFFEDD-0509-41A4-957F-270790A038CA.jpeg

We jamaa na 💩🤮
 
Back
Top Bottom