Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Agiza tena nyingine uzimue! Mpuuzi nini!
 
Kama ulikunywa bila kula msosi wa kutosha maana Kuta za utumbo zimevimba epuka pili pili, energy drink na vinywaji vyenye gesi na sukari nyingi kula vyakula lakini maji Kila baada ya muda flani na juisi ya matunda na pumzika vya kutosha mwili utakaa sawa tu pole sana
 
Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Siku 3, ulibakia salama mkuu? Maana nchi ina wahuni kila sehemu hii. Hata mtaja wahuni nae alikutwa na mafuta..
 
Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Amka nenda kafue underware zako mkuu au uko nudity?
 
Mzee tafuta supu nzito, yenye pilipili na limao Kali.

Njaa hiyo bado haija kata.
Supu ni nzuri kwa mtu alielewa kidogo, na supu ni rahisi kunywa na inakupa appetite ila haiondoi hangover kwa haraka.

Kama anaweza na pesa anayo, ale kitimoto na ndizi au ugali. Aanze na hiyo supu apate appetite, aagize nyama na ugali apige, asisahau maji ya kutosha na sio masoda au majuisi baada ya hapo aoge alale.

Kesho ataamka mzima wa afya, supu inachakatwa haraka sana haifanyi vizuri kwa pombe kali labda bia.
 
Back
Top Bottom