Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Kunywa supu, kunywa na pepsi baridi ipige chaaap unabeua unashushia na maji.....usiku utaagiza upyaNgoja nitafute supu tu
Kunywa supu, kunywa na pepsi baridi ipige chaaap unabeua unashushia na maji.....usiku utaagiza upyaNgoja nitafute supu tu
Hata supu haishuki jmnSupu ni nzuri kwa mtu alielewa kidogo, na supu ni rahisi kunywa na inakupa appetite ila haiondoi hangover kwa haraka.
Kama anaweza na pesa anayo, ale kitimoto na ndizi au ugali. Aanze na hiyo supu apate appetite, aagize nyama na ugali apige, asisahau maji ya kutosha na sio masoda au majuisi baada ya hapo aoge alale.
Kesho ataamka mzima wa afya, supu inachakatwa haraka sana haifanyi vizuri kwa pombe kali labda bia.
Sisi wazee wa ngumu kumeza tunajua hali anayopitia. Lazima ujilazimishe kula ( ameshauriwa supu) vinginevyo hali itakuwa mbaya. Kama hana pesa ya supu tutapiga donee sababu walevi tunapendana zaidi ya walokole.Ataweza kula. Hivi unaelewa lkn hali anayopitia? Kama haijawahi kukuta utaona kula inawezekana. Wastani wa masaa 18 hivi ndo unaweza ukala na kumeza kitu.
Changamoto ni hiyo sikuweka msosi wakutosha kabisaNa supu usiipoze kunywa ya moto bila kusahau pilipili, utoe jasho ndo pombe inatoka hiyo.
Usijizuie kutapika ukihisi hivyo, tema chenji uwezavyo ukipata fursa hiyo ila kama umelewa tangu juzi chance ya kutapika ni ndogo, na hapo inakutesa zaidi njaa.
😂😂😂😂😂Utakuja kubakwa unakunywaje NIDA, CCM na INEC kwa fujo hivyo.
Amka piga supu, na maji baridi sanaa
😂😂😂😂😂Siku 3, ulibakia salama mkuu? Maana nchi ina wahuni kila sehemu hii. Hata mtaja wahuni nae alikutwa na mafuta..
huyo mjinga lazima aliacha mbolea mtaani apo anajifanya kasahau ukimkumbushaNyie ndio mnasababisha pombe zidharaulike,.
Haya maneno kila mlevi huyaongea akiwa kwenye hali hiyo mkuuNATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO
Nenda saunaHata supu haishuki jmn