Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Chukua Fanta orange kunywa, ukimaliza chukua supu yoyote ila mchuzi uwe mwingi. Baada ya nusu saa utakuwa kama hujanywa bia.
 
Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Wewe ndo mwamba, hutakiwi kuionea pombe huruma, ona imekupa ruhusa ya kulala siku tatu wakati wengine tunahangaika kutafuta usingizi hata nusu saa tuu hatupati.
 
Chukua viazi ulaya, tia maji kiasi, weka vitunguu vingi na limao na pilipili kiasi kama unatumia. Kisha chemsha soup yake kunywa. Usiweke mafuta. Kaa dakika 30. Chukua K vant ikate nusu yote. Hiyo ndio tiba.
 
Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Ulafi kama wa fisi sii mpango,watu hawashindani kunywa gambe,gambe ni burudani tu,haitakiwi kuwa kero.ushauri wahi kwa hospital,piga drip zako mbili na jifunze unywaji sahihi.Hiyo ndiyo dawa pekee!
 
Just do it, hard sex and drink some water
Wakuu habari,

Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,

Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida

NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
 
hiyo ni roho chafu ya kuzimu,mapepo,majini,mizimu
Dawa ni kuikemea kwa jina la Yesu,ikatae hiyo roho ovu ya shetani,omba Mungu akusaidie,somama na Mungu,ongeza ibada,jiepushe na vishawishi...Mungu atakusaidia ukimtegemea na ukimuomba katika roho ma kweli ukiamiamini.
 
Ndio tabia ya mvinyo za ofa. By the way ukiamka na wenge kihivyo anza na pepsi baridi mwaego.
 
Chukua viazi ulaya, tia maji kiasi, weka vitunguu vingi na limao na pilipili kiasi kama unatumia. Kisha chemsha soup yake kunywa. Usiweke mafuta. Kaa dakika 30. Chukua K vant ikate nusu yote. Hiyo ndio tiba.
Sasa hiyo ni tiba au ndo anaongeza tatizo mwilini?
 
mkuu
Pole pombe za siku nne ulikunywa siku Moja vulimilia msaa ya pite

umeoa ? kama ndio mkeo iposiku atakunyanyua mguu Mmoja akupasulie Yao asb utaona hiyo nyumba mpya siopako

shauri yako kunywa pombe vile umetumwa
 
Back
Top Bottom