Itakua gongo hiyoSema vizuri, ulikunywa nini....
Heeee wewe!!! Zilikua pombe za bure au???Konyagi,valuu na bia
Ukiwa unakunywa usichanganye pombe kama Kuna Kono Kono jizungushie kichwaniWakuu habari,
Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,
Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida
NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Pepsi umekunywa?NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
πππ Umejua wapi hizo mbinuMzee tafuta supu nzito, yenye pilipili na limao Kali.
Njaa hiyo bado haija kata.