Agiza tena nyingine uzimue! Mpuuzi nini!Wakuu habari,
Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,
Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida
NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Bro yali kukuta ehh😂😂Utakuja kubakwa unakunywaje NIDA, CCM na INEC kwa fujo hivyo.
Amka piga supu, na maji baridi sanaa
Mshua angu alikuwa ana kulaga hivyo.😂😂😂 Umejua wapi hizo mbinu
Kwamba nlibakwa au sio 😒😒😒Bro yali kukuta ehh😂😂
Usimfokee, mpe muongozo kuteleza sio kuangukaUtakuja kubakwa unakunywaje NIDA, CCM na INEC kwa fujo hivyo.
Amka piga supu, na maji baridi sanaa
Nasemea hapo kwenye kula bhana 😂Kwamba nlibakwa au sio 😒😒😒
Siku 3, ulibakia salama mkuu? Maana nchi ina wahuni kila sehemu hii. Hata mtaja wahuni nae alikutwa na mafuta..Wakuu habari,
Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,
Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida
NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Mkuu nainunua hii kwa majaribioTafuna kitunguu maji chap tu unarudi hewani
Hii inachochoea uleviPepsi umekunywa?
Yap supu, pepsi baridi maji baridii vinarudisha uhaiNasemea hapo kwenye kula bhana 😂
Agiza malimao hata manne!kata kamua yote kunywa juice yake!angalau tupate ester na maji huko Kwa damu!Konyagi,valuu na bia
Basi anywe TangawiziHii inachochoea ulevi
Ataweza kula. Hivi unaelewa lkn hali anayopitia? Kama haijawahi kukuta utaona kula inawezekana. Wastani wa masaa 18 hivi ndo unaweza ukala na kumeza kitu.Kula vizuri na kunywa maji mengi utakaa sawa mkuu. Siku nyingine usichanganye hayo makitu.
Amka nenda kafue underware zako mkuu au uko nudity?Wakuu habari,
Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu,
Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida
NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO NIPO KITANDANI TU
Supu ni nzuri kwa mtu alielewa kidogo, na supu ni rahisi kunywa na inakupa appetite ila haiondoi hangover kwa haraka.Mzee tafuta supu nzito, yenye pilipili na limao Kali.
Njaa hiyo bado haija kata.