Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

Ataweza kula. Hivi unaelewa lkn hali anayopitia? Kama haijawahi kukuta utaona kula inawezekana. Wastani wa masaa 18 hivi ndo unaweza ukala na kumeza kitu.
Kabisa yaani nalazimisha chakula lakni hakishuki zaidi ya maji tu
 
Hata supu haishuki jmn
 
Ataweza kula. Hivi unaelewa lkn hali anayopitia? Kama haijawahi kukuta utaona kula inawezekana. Wastani wa masaa 18 hivi ndo unaweza ukala na kumeza kitu.
Sisi wazee wa ngumu kumeza tunajua hali anayopitia. Lazima ujilazimishe kula ( ameshauriwa supu) vinginevyo hali itakuwa mbaya. Kama hana pesa ya supu tutapiga donee sababu walevi tunapendana zaidi ya walokole.
 
Changamoto ni hiyo sikuweka msosi wakutosha kabisa
 
Tafuta maziwa ya mtindi lita 1 kunywa..
Au kama we ni mzoefu kunywa k vant ndogo 1..
Au Kata kachumbari usiiweke nyanya weka hoho, vitunguu vi3, carrot, pilipili 1, limao au ndimu 3.. kula umalize..

NB: USINYWAGE POMBE KALI ZENYE RANGI, KAMA HIYO VARUEL...
 
Jilazimishe Kunywa supu.
Ikiwezekana kunywa tu na maji meng.

Kiingie tumbon na Ukitapika ndio dawa.

Alaf ukitapika ndio kunywa kitu kingine chakula cha kukupa nguvu.
 
Jilazimishe Kunywa supu.
Ikiwezekana kunywa tu na maji meng.

Kiingie tumbon na Ukitapika ndio dawa.

Alaf ukitapika ndio kunywa kitu kingine chakula cha kukupa nguvu.
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…