Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Hivi kwa nini ninyi wasabato hamumzimii kabisa kitimoto?Sabato njema
Sisi ni Walawi a.k.a walawitiHivi kwa nini ninyi wasabato hamumzimii kabisa kitimoto?
Hebu nieleze kinagaubaga.
Leo ndo nimepata kujua kuwa walawi ni walawiti.Sisi ni Walawi a.k.a walawiti
Kwani ninyi wasabato mnaruhusiwa kula kitimoto?na usabato wangu nishashindwa kuacha kula Kamongo ni mtam sana yule Nyoka, ila hiyo kiti fire ishanishinda inakaa kooni mno na kunijaza tumbo
hairuhusiwi mimi nimekula nikiwa kwenye harakati za mtu mweusi ila sijawahi kupata utamu wa hayo makitu kama watu wanavyo msifiaKwani ninyi wasabato mnaruhusiwa kula kitimoto?
Nijuze.
Sijawahi kula kitimoto!na usabato wangu nishashindwa kuacha kula Kamongo ni mtam sana yule Nyoka, ila hiyo kiti fire ishanishinda inakaa kooni mno na kunijaza tumbo
ila kamongo ushawahi babu?Sijawahi kula kitimoto!
Unajua kwa nini hujapata utamu wa kitimoto?hairuhusiwi mimi nimekula nikiwa kwenye harakati za mtu mweusi ila sijawahi kupata utamu wa hayo makitu kama watu wanavyo msifia
Kamongo ni nini?ila kamongo ushawahi babu?
nyumbani kwetu anaekula kitimoto ni mmoja tu bro wangu na familia yake maana ni RC ila toka nimekua mpka kutoka kwetu wazazi wangu hawakuwahi kuleta kitimoto nyumbani japo sio wasabato pure,, mimi nimeonja ukubwani baada ya dunia kunizidi uwezo
Madhehebu ambayo waumini hufuatiliana maisha binafsi na kupeleka kanisani hufanya waongeze usiri tu na siyo kuacha.
Hivi kwa nini ninyi wasabato hamumzimii kabisa kitimoto?
Hebu nieleze kinagaubaga.
Vizuri.