Pombe ni adui wa mafanikio! Ulevi unapoteza pesa, muda na Fursa

Mkuu sijui nikujibu, sijui niache....?

Kwa ufupi, nina historia mbaya na pombe, niliwahi kulala mahabusu miezi sita ijapo sikuhukumiwa kutokana na tukio nililolifanya...
Imepita miaka 28 sasa sijui kilevi kinaingia vp mdomoni
Sababu ya kukaa nyuma ya nondo haikua bia ila ulikua wewe mwenyewe ndio maana walikuweka wewe nyuma ya nondo wakaacha kuiweka nyuma ya Nondo bia, siku hio ulikunywa bia gani?
 
Nilikunywa safari (ilikuwa ni miaka 2 tu tokea kuanza kutengenezwa) nikachanganya tusker pamoja na viroba vya no. 1, aisee nikarudi home, nilichokifanya kwa babangu mdogo, alikula kisu, utumbo huo njee, kakimbizwa ddh (hakufa)
Nakumbuka kauli ya mzee hadi leo "WE NGURUWE, MDOGO WANGU AKIFA NA WE UNAFIA JELA"
baada ya miez sita nilivyotoka habusu kwa kweli sitaki mazoea..ijapo nimetembea maeneo meng nje ya bongo, lakn nimekuwa nikijizuia.
 
Pole sana sasa ilikuaje Mzee wako akakuita Nguruwe?
 
Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress multiplier.

Hili si dhana bali ni matokeo ya watu wengi waliotangulia.

Pombe inapoteza muda!
Pombe inapoteza pesa!
Pombe inaharibu na kud afya!
Pombe inaharibu focus!
Pombe inapunguza productivity!

Naamini katika science, naam Sayansi si hisia ni data zilizotokana na utafiti yakinifu.

Sayansi inakubali kwamba au tafiti zinasema kuwa:

1. Pombe inapoteza muda

Kila saa unayopoteza ukiwa umekunywa ni saa unazoweza kutumia kufanya kitu kingine au kuwekeza muda kwenye maendeleo yako. Hata wakati unafeel “relaxing” – akili yako haiko 100% kwa sababu inashughulika na metabolizing alcohol. Kila week unapoenda kwenye bar/kunywa, unapoteza masaa muhimu kwenye maisha.

2. Pombe inapoteza pesa
Hii ni rahisi kuelewa. Pombe ni gharama, unatumia gharama kununua kitu kisicho na faida kabisa.

3. Pombe inaharibu afya
Mimi si daktari, ila nitakueleza kwa scientific reasoning: inachangia magonjwa ya ini (liver disease), moyo (hypertension, heart disease), na mfumo wa kinga kudhoofika. Hii inamaanisha kuwa muda, pesa, na energy unayopoteza ni double loss: unatumia pesa na muda kuponya au kutibu matatizo ya afya yanayojitokeza.

4. Pombe inaharibu focus
Alcohol inafanya brain function kuwa slow: memory, attention, na decision-making ability inapungua. Hii ni sababu nyingine kwa nini unashindwa kufanya tasks muhimu.

5. Pombe inapunguza productivity
Ukijumuisha pointi zote hapo juu: time lost + pesa lost + health impact + focus loss = productivity yako inashuka drastically. Productivity ni currency kubwa zaidi ya pesa. Hivyo, pombe ni “silent thief” wa growth yako kifedha, kiakili, na kimwili.
​
Ni ruhusa kupinga lakini pombe ni adui!
Unataka kujifunza kuhusu personal finance, uwekezaji na productivity?

Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
Kanuni/sheria tatu za pombe unazopaswa kuzizingatiq muda wore
1 . WEWE NI NANI
2. UKO WAPI
3. UNAFANYA NINI
Ukishasahu zote ama moja kati ya hizo achana na pombe haraka sana
1774770638224.jpg
 
Nikifikiria sana kwanini vijana wengi tumeingia kwenye mtego huu, huwa na hitimisha kwa kuamini shetani yupo kazini. Ulevi sio kuwa ni mtindo wa maisha tu, hapana! Ni mkakati wa kuzimu kufanikisha agenda yake ya kuwaongoza watu kwenda kwenye umasikini, magonjwa, zinaa na hatimaye jehanamu.(Ufunuo2:14)
Zinahitajika jitihada za makusudi za kiroho na kimwili kujinasua na kuwanasua wengine kutoka katika kifungo hiki cha giza.
 
Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress multiplier.

Hili si dhana bali ni matokeo ya watu wengi waliotangulia.

Pombe inapoteza muda!
Pombe inapoteza pesa!
Pombe inaharibu na kud afya!
Pombe inaharibu focus!
Pombe inapunguza productivity!

Naamini katika science, naam Sayansi si hisia ni data zilizotokana na utafiti yakinifu.

Sayansi inakubali kwamba au tafiti zinasema kuwa:

1. Pombe inapoteza muda

Kila saa unayopoteza ukiwa umekunywa ni saa unazoweza kutumia kufanya kitu kingine au kuwekeza muda kwenye maendeleo yako. Hata wakati unafeel “relaxing” – akili yako haiko 100% kwa sababu inashughulika na metabolizing alcohol. Kila week unapoenda kwenye bar/kunywa, unapoteza masaa muhimu kwenye maisha.

2. Pombe inapoteza pesa
Hii ni rahisi kuelewa. Pombe ni gharama, unatumia gharama kununua kitu kisicho na faida kabisa.

3. Pombe inaharibu afya
Mimi si daktari, ila nitakueleza kwa scientific reasoning: inachangia magonjwa ya ini (liver disease), moyo (hypertension, heart disease), na mfumo wa kinga kudhoofika. Hii inamaanisha kuwa muda, pesa, na energy unayopoteza ni double loss: unatumia pesa na muda kuponya au kutibu matatizo ya afya yanayojitokeza.

4. Pombe inaharibu focus
Alcohol inafanya brain function kuwa slow: memory, attention, na decision-making ability inapungua. Hii ni sababu nyingine kwa nini unashindwa kufanya tasks muhimu.

5. Pombe inapunguza productivity
Ukijumuisha pointi zote hapo juu: time lost + pesa lost + health impact + focus loss = productivity yako inashuka drastically. Productivity ni currency kubwa zaidi ya pesa. Hivyo, pombe ni “silent thief” wa growth yako kifedha, kiakili, na kimwili.
​
Ni ruhusa kupinga lakini pombe ni adui!
Unataka kujifunza kuhusu personal finance, uwekezaji na productivity?

Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom