Kwani nimekwambia nauhitaji huo? Andiko langu ni jitihada yakujaribu kusaidia haswa vijana kutoka kwenye ulevi na madhara yake. Swala la kuamua kuendelea au kuacha pombe litabaki kuwa utashi wako binafsi. Ahsante sanaUlituomba mkopo wanywa pombe tutakunyima bwashee?
Yeah usijali ni utani tu, kweli vijana wanakunyw pombe mbaya zaidi kuna pombe nyingi fake na za bei rahisi mnoKwani nimekwambia nauhitaji huo? Andiko langu ni jitihada yakujaribu kusaidia haswa vijana kutoka kwenye ulevi na madhara yake. Swala la kuamua kuendelea au kuacha pombe litabaki kuwa utashi wako binafsi. Ahsante sana
Lakini kwa kweli kuna pisi zimenyooka sana, kiasi cha kwamba mwanaume unasema potelea mbali liwalo na liwe acha nilogongeHaya na wale wanao shida kwenye ma lodge kila baada ya wiki mbili ,, na kupambania mwanawake kwa kumpata kwa gharama yoyote!
Wanao kunywa bia wana Sema kiukweli na kuonanekana wanatumia pesa mingi sana !!
Pisi ziko nyingi sana, zilizonyoka na usitegemee hongo itakua 20k !!Lakini kwa kweli kuna pisi zimenyooka sana, kiasi cha kwamba mwanaume unasema potelea mbali liwalo na liwe acha nilogonge
Mlevi aliejemga na kagari hawezi kukuelewa hayo ndo mafanikio yakeWatu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress multiplier.Ni ruhusa kupinga lakini pombe ni adui!
Hili si dhana bali ni matokeo ya watu wengi waliotangulia.
Pombe inapoteza muda!
Pombe inapoteza pesa!
Pombe inaharibu na kud afya!
Pombe inaharibu focus!
Pombe inapunguza productivity!
Naamini katika science, naam Sayansi si hisia ni data zilizotokana na utafiti yakinifu.
Sayansi inakubali kwamba au tafiti zinasema kuwa:
1. Pombe inapoteza muda
Kila saa unayopoteza ukiwa umekunywa ni saa unazoweza kutumia kufanya kitu kingine au kuwekeza muda kwenye maendeleo yako. Hata wakati unafeel “relaxing” – akili yako haiko 100% kwa sababu inashughulika na metabolizing alcohol. Kila week unapoenda kwenye bar/kunywa, unapoteza masaa muhimu kwenye maisha.
2. Pombe inapoteza pesa
Hii ni rahisi kuelewa. Pombe ni gharama, unatumia gharama kununua kitu kisicho na faida kabisa.
3. Pombe inaharibu afya
Mimi si daktari, ila nitakueleza kwa scientific reasoning: inachangia magonjwa ya ini (liver disease), moyo (hypertension, heart disease), na mfumo wa kinga kudhoofika. Hii inamaanisha kuwa muda, pesa, na energy unayopoteza ni double loss: unatumia pesa na muda kuponya au kutibu matatizo ya afya yanayojitokeza.
4. Pombe inaharibu focus
Alcohol inafanya brain function kuwa slow: memory, attention, na decision-making ability inapungua. Hii ni sababu nyingine kwa nini unashindwa kufanya tasks muhimu.
5. Pombe inapunguza productivity
Ukijumuisha pointi zote hapo juu: time lost + pesa lost + health impact + focus loss = productivity yako inashuka drastically. Productivity ni currency kubwa zaidi ya pesa. Hivyo, pombe ni “silent thief” wa growth yako kifedha, kiakili, na kimwili.
Unataka kujifunza kuhusu personal finance, uwekezaji na productivity?
Follow the Tanzania Wall Street channel on WhatsApp: Tanzania Wall Street
Halafu hazina kemikalibora kunywa ulanzi, mnazi, togwa, na mbege hazina gharama🤣🤣🤣😝
Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend
Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress multiplier.
Hili si dhana bali ni matokeo ya watu wengi waliotangulia.
Pombe inapoteza muda!
Pombe inapoteza pesa!
Pombe inaharibu na kud afya!
Pombe inaharibu focus!
Pombe inapunguza productivity!
watakwambia hizo pombe ni mataputapu na ukizinywa kiingereza hakipandi🤣🤣🤣Halafu hazina kemikali
Ukinywa kwa mfano nyagi kisha ukanywa gongo.. Konyagi yote inakata🤣watakwambia hizo pombe ni mataputapu na ukizinywa kiingereza hakipandi🤣🤣🤣
ila wew kiboko ukageuka kuwa tomaso hadi kwenye gongo🤣🤣🤣🤣Ukinywa kwa mfano nyagi kisha ukanywa gongo.. Konyagi yote inakata🤣
Ilikuwa adventure.. Nilikuwa na raia wa nje tulitoka Dar saa 2ila wew kiboko ukageuka kuwa tomaso hadi kwenye gongo🤣🤣🤣🤣
test yake ipo je ni kama spirit ??Ilikuwa adventure.. Nilikuwa na raia wa nje tulitoka Dar saa 2
hivi.. Tukafika Chalinze kwenye saa 6 pale tukapiga menyu ya mikonyagi, tukanyanyua mpaka mombo kufika pale kwenye 12 hivi mbuzi choma tena na mikonyagi
Tukapanda milimani huko tukafika mahali tukaulizia Nyagi tukaambiwa ni machozi ya simba tu na boha.. Tukasema poa tuu
Tukapiga chupa moja ile pyuwa grade one ya test ikatukata nyagi yote😂 tulishangaa sana
Mwenzetu yeye aliamua kutembea na boha mixer pyuwa.. Usiku aliharisha na kutapika mpaka ikafika mahali nusu atapike utumbo.. Sisi tuliobeba pyuwa chupa 2 ilikuwa full shangwe! 😂
Wachaga wanakunywa sana pombe lakini wengi ni matajirWatu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend. Lakini ukweli ni kwamba pombe ni money leak kubwa, productivity killer, na stress multiplier.Ni ruhusa kupinga lakini pombe ni adui!