Pombe ni adui wa mafanikio! Ulevi unapoteza pesa, muda na Fursa

Kwani nimekwambia nauhitaji huo? Andiko langu ni jitihada yakujaribu kusaidia haswa vijana kutoka kwenye ulevi na madhara yake. Swala la kuamua kuendelea au kuacha pombe litabaki kuwa utashi wako binafsi. Ahsante sana
Yeah usijali ni utani tu, kweli vijana wanakunyw pombe mbaya zaidi kuna pombe nyingi fake na za bei rahisi mno
 
Haya na wale wanao shida kwenye ma lodge kila baada ya wiki mbili ,, na kupambania mwanawake kwa kumpata kwa gharama yoyote!
Wanao kunywa bia wana Sema kiukweli na kuonanekana wanatumia pesa mingi sana !!
Lakini kwa kweli kuna pisi zimenyooka sana, kiasi cha kwamba mwanaume unasema potelea mbali liwalo na liwe acha nilogonge
 
Lakini kwa kweli kuna pisi zimenyooka sana, kiasi cha kwamba mwanaume unasema potelea mbali liwalo na liwe acha nilogonge
Pisi ziko nyingi sana, zilizonyoka na usitegemee hongo itakua 20k !!
 
We acha kivyako usitusumbue hapa.
Cocacola,Redbull, kahawa,maziwa,karanga,hewa,ndege,vyote vina sumu hadi maharage labda uhame duniani
 
Mlevi aliejemga na kagari hawezi kukuelewa hayo ndo mafanikio yake
 
Watu wengi wanafikiria kuwa kufurahia maisha ni kunywa kila siku, kwenda bar, au kununua pombe kila weekend

Ni Kweli, weng wanadhan hivi. Lakin sio Hivi.

Kufurahia maisha kila mtu na mtazamo wake, kila mtu na hobbies zake.

najua hata ww kuna kitu kinakupa furaha, bas hata wanaoenda Bar wanafanya hivyo ili waipate na sio Kwenda bar kila siku ndio kupatia maisha. (Hii dhana itoe).


Ila hapa ☝️☝️☝️ siko na ww.
vitu vingi vinaweza kusababisha hayo uliyosema juu, na sio pombe pekeyake.

Unaweza usinywe pombe na ukapoteza muda kwa vitu kadha wa kadha visivyo na msingi.
Unaweza usinywe pombe na ukaumwa figo, moyo Inni na Ukimwi.
Unaweza usinywe pombe na ukapoteza hela kwa wanawake na umalaya.
Unaweza usinywe pombe na bado ukawa hauna focus wala productivity.

kwahiyo vitu vyote ulivyotaja hapo juu Haviangalii unakunywa Pombe au haunywi.

Ingawa ukinywa pombe na ukawa Mvivu au huna uelewa basi inachangia zaidi kukupoteza.
But unaweza ukawa haunywi na bado ukapotea vile vile.

Maisha ni Jitihada/juhudi na kudra tuliojaliwa.
 
Haujafikiria tukiacha pombe ma baamedi wataishije na wanawatoto? Kuwa na huruma
 
Mimi sinywi pombe ila ninaweza sema pombe sio adui mkubwa wa maendeleo kama wanawake... unaweza kuwa na mwanamke mmoja ila akakumaliza kabisa kiuchumi. Pombe ukizidisha ni tatizo kama ilivyo soda. Pia kama unakunywa kunywa tu hizi bia.. hizi Konyagi na ndugu yake ni hatari.
 
ila wew kiboko ukageuka kuwa tomaso hadi kwenye gongo🤣🤣🤣🤣
Ilikuwa adventure.. Nilikuwa na raia wa nje tulitoka Dar saa 2
hivi.. Tukafika Chalinze kwenye saa 6 pale tukapiga menyu ya mikonyagi, tukanyanyua mpaka mombo kufika pale kwenye 12 hivi mbuzi choma tena na mikonyagi
Tukapanda milimani huko tukafika mahali tukaulizia Nyagi tukaambiwa ni machozi ya simba tu na boha.. Tukasema poa tuu
Tukapiga chupa moja ile pyuwa grade one ya test ikatukata nyagi yote😂 tulishangaa sana

Mwenzetu yeye aliamua kutembea na boha mixer pyuwa.. Usiku aliharisha na kutapika mpaka ikafika mahali nusu atapike utumbo.. Sisi tuliobeba pyuwa chupa 2 ilikuwa full shangwe! 😂
 
test yake ipo je ni kama spirit ??
vipi ukipewa tena ukiwa na fahamu zako utakunywa
 
Wachaga wanakunywa sana pombe lakini wengi ni matajir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…