Pombe ya viroba sasa inaitwa "visungura", Serikali ichukue hatua haraka vijana wanapotea kwa kasi

Alcohol 40 ya Sungura na Alcohol 40 ya Grants, tofauti yake ni nini?
Grants bei ghali.

Sungura bei ndogo hivyo kila mtu anaweza ipata, Sungura ukienda ipima utakuta inazidi
 
Acha watu wamwagilie moyo!.... Ile kitu robo inapenda.....

Ukipata nafasi ya kunywa, kunywa saana tu!...Lakini kumbuka!.....Wakati ndio huu huu ulio nao sass!...na muda sio mjomba wala shangazi yako!
Muda haukusubiri!
 
Nadhani hata bungeni wanaingia navyo.
Maana MTU mzima aliye tahiriwa kimila hawezi kuanza kulia mchana kweupe mbele ya wanawake wa covid 19 na makamera bila kuguswa na MTU.
 
Tuna pambana kuidhinisha GONGO wewe unataka wazuie vinywaji HALALI " UNYWAJI KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO " Hata ingekua na alcohol 10% ukinywa vingi mwendo ni uleule! Hiyo castle lite kuna wanaokunywa na wanalewa mpaka wanajikojolea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili kubwa bro watu wanahisi jina na upatikanaji wake ndio tatizo.
 

Mbona niko stendi huku sijaona mpiga debe akinywa
 
Nadhani hata bungeni wanaingia navyo.
Maana MTU mzima aliye tahiriwa kimila hawezi kuanza kulia mchana kweupe mbele ya wanawake wa covid 19 na makamera bila kuguswa na MTU.
Yule waitara ile sura ya pombe mchanganyiko kabisa ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…