Pombe ya viroba sasa inaitwa "visungura", Serikali ichukue hatua haraka vijana wanapotea kwa kasi

sio kwa kidude kile mkuu. kile kina balaa
 
Mbona niko stendi huku sijaona mpiga debe akinywa
Usitegemee kuviona stendi kuu ya Mbezi (siwezi kuandika jina la mwendazake) njoo huku Kiluvya, kwa Mathias na kwamfipa uone marehemu watarajiwa walivyo chakaa. Halafu kila kibanda kinauza hiyo sumu.
Hivi imepitia TBS hii pombe au wachina wanaouza juu kwaju?
 
na kinauzwa buku 2 tu.. unapimiwa hadi cha buku. mitaani hali mbaya huku mamlaka iingilie kati
Wenye mamlaka ndio wale waliotajwa na CAG. Kumbuka bado hawajawajibishwa, unategemea waache upigaji wahangaike na wapiga kura?
TBS Sasa hivi akili Yao iko bandarini kwenye upigaji, kila gari unayoiona imetokea bandarini ujue dereva ameacha hamsini au laki. Unategemea watahangaika na pombe za misukule.
 

Hakuna cha wachina ni mbongo anatengenezea kule ubungo kibangu kama unaenda makoka
 
Ahaaaaaa! Huyu ile kanuni ya kunywa kwa kiasi aliikiuka
 
Mkubwa, umewahi kuionja au kukaa jirani na mtumiaji ?
 
Tofauti ni Mil's
unakuta kale ka smart Gin mil 200 Alc 40%
Grants unakuta ni Mil 750 Alc 40%
Zipo Grants ndogo kabisa sikumbuki mils ngapi lakini haizi 200mls tena inaweza kuwa pungufu.
Hapo tatizo vifungashio na mtengenezaji tu au brand imetoka nje ya nchi na local brand.
 
Zipo Grants ndogo kabisa sikumbuki mils ngapi lakini haizi 200mls tena inaweza kuwa pungufu.
Hapo tatizo vifungashio na mtengenezaji tu au brand imetoka nje ya nchi na local brand.
nafikiri ni 90ml
ila alcohol % yake naona itakua ndogo sio kama hizi smart gin
 
Vijana waachiliwe tu wanywe na kujiua maana maisha yamekuwa magumu sana sasa hivi.
 
Miaka ya baadaye kutakuwa na tatizo kubwa la magonjwa ya ini, figo, kisukari, upungufu wa nguvu za kiume n.k
Pombe haijaanza kunywewa leo bwashee,

Miaka na miaka Kuna gongo mitaani vilabuni Zina Zaid ya 60% alcohol, mababu zetu wamekunywa sn na bado wako hai.

Vijana wa Sasa mnauwawa na vingi,
Hivyo visukari na magonjwa ya Moyo mengine mnajiletea wnyw kwny mahusiano yenu pasua kichwa uko.

Msisingizie pombe bhana
 
Kuna kijana wangu wa mtaa akiamka tu anafakamia kisungura ,akilala kiko pembeni .Chakula chake ni maandazi na energy.Nilashashauri sana tumebaki kumuangalia tu.
 
Mkuu kwa comment yako hii unaingia mbinguni moja kwa moja! Kuna watu wanajitwisha mapombe ya Russia kila siku lakini sijaona wanakemewa lkn huyu mkombozi wa mnyonge wananza kumwandama.
Tatizo wabongo wamekariri Cha Bei kubwa ndio Bora, hasa kinachoagizwa nje.

wanasahau Bei kubwa inasababishwa na ushuru mkubwa na Kodi lukuki bandarini na mamlaka MBALIMBALI.

Mpk ikufikie mlaji, Bei haishikiki.

Hennessy ingezalishwa bongo unadhani tusingemudu? Mbona wine za dodoma tunazimudu?

Pale unauziwa ushuru na kifungashio TU, Pombe Ni ile ile[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…