Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 483
- 1,100
Hakula kwasababu yakukosa pesa.Huyo hakula na wala hakunywa maji, kilichompata ni kukaukiwa maji mwilini(dehydration).
Tanzania watu wengi wanashinda njaa.
Hata wewe inawezekana ukipiga viroba kadhaa chalii.
Serikali ione umuhimu wakuboresha elimu lakini pia ubunifu katika ajira vijana wapate nafasi zakutengeneza pesa zakueleweka wasife njaa kama huyo dada.
Huyo ni mmoja ila wengi tu wanaenda kwa namna hiyo si vijana wanaume si wanawake.
Hasahasa hapo mjini Dar.