Pombe yaua Mhudumu wa Baa aliyekunywa bila kula

Hata kwa wazinzi ni dawa tosha asee maji hupungua sana mwilini
Unywaji wa pombe unakausha maji mwilini sababu pombe ni diuretic, over some time mtu anapoteza fluids na electrolytes muhimu mwilini. Japo, kwa case yake ni wazi ni hypoglycaemia.
mtu kudevelop dehydration it takes some time na haiwezi kuwa immediate cause of death kwa mlevi. Mtu aliyezidiwa kwa ulevi mpe kwanza Fanta orange au mwekee asali chini ya ulimi km hajitambui km huduma ya kwanza kwa sababu sukari kushuka ( hypoglycaemia)ndio kutamuua haraka na sio dehydration
 
kama ni konyagi ukinywa usiku unasikia kiu moja kali sana ambayo inahitaji maji ya baridi sana
Kuna siku niligida konyagi za kutosha, usiku nikapata kiu moja kali sana hadi natetemeka manake jana yake sikula vitu vya kueleweka.
Ikabidi niende kumgingea mangi anipe maji na hapo ndio akiki ikakaa sawa nikaanza kutafuta vijiwe vya chips vya 24hrs.
 
Ku

Kuna siku niko Ilula navizia bus la kuja Dar, Sasa nikaona wakati nasubiri nikinywa bia itanisumbua kukojoa Mara kwa mara, nikaoona ninywe Konyagi. Baada ya kumaliza mzaramo nikaona si vibaya kuagiza ya pili. Nilipoimaliza Tunyande ikawa limefika. Nikaingia safari ikaanza kipindi kile magari yanatembea usiku. Ile tunamaliza kitonga nikashikwa na usingizi. Enzi zile hakuna maji ya chips yanayouzwa. Maji Ni bombani, kisimani au mtoni full stop. Tuko katikati ya mbuga usingizi ukakata, nilikua na kiu ya kufa mtu na kichwa kinauma sio kawaida. Mida hiyo Ni nane usiku, Tunyande inakata mawimbi lakini naliona Kama limesimama. Nilikaa na Ile kiu mdomoni hakuna hata tone la mate mpaka Tunyande inaingia mnazi mmoja kumi na mbili alfajiri.
 
😂😂😂😂😂😂 Ulijifunza the hard way 😁
 
Hahahah pole sana Mkuu,unatamani usingizi ukipitie tena. Ukinunua konyagi hakikisha unatembea na maji
 
Kuna siku niligida konyagi za kutosha, usiku nikapata kiu moja kali sana hadi natetemeka manake jana yake sikula vitu vya kueleweka.
Ikabidi niende kumgingea mangi anipe maji na hapo ndio akiki ikakaa sawa nikaanza kutafuta vijiwe vya chips vya 24hrs.
ile kitu ni balaa ilishamipkausha usiku hadi nikawa nashindwa kumeza mate mdomo umekauka kabisa niliamka nikaende hadi stand kutafuta vijiwe vya kukesha ninywe maji
 
Tatizo sio kuamini nijuacho. Tatizo ni kuongelea mambo usiyoyajua na kupotosha. Focus on ur area of expertise mzee
Kuna tiba na kuna huduma ya kwanza, tiba inamuhusu daktari lakini huduma ya kwanza inahusu msaada ambao unadhani utajisaidia kabla ya kumfikia daktari hivyo unapojisikia vibaya usiku wa manane hauwezi kutojisaidia kabla ya kumuona daktari asubuhi, unapokataa huduma ya kwanza sijui unamlinda nani! Narudia tena ukinywa pombe hakikisha unayo gilasi ya maji ya kunywa chumbani mwako, hii si dawa na hakuna dakitari atakae kuonya kwa kunywa maji kabla ya kumuona yeye.
 
Back
Top Bottom