Pombe yaua Mhudumu wa Baa aliyekunywa bila kula

Watz kwa uongo na upotoshaji hamjambo. Amepata hypoglycaemia kwa sababu ya sukari kushuka mwilini kwa sababu ya njaa plus pombe kali na sio dehydration. Nyie ndio unakuta mnatibu huko mitaani na kuua watu Figo na maini

Amini ujuacho ila nakushauri ukinywa bia hakikisha unapokwenda kulala unayo gilasi ya maji ya kunywa chumbani mwako, utakuja kunishukuru.
 
Watz kwa uongo na upotoshaji hamjambo. Amepata hypoglycaemia kwa sababu ya sukari kushuka mwilini kwa sababu ya njaa plus pombe kali na sio dehydration. Nyie ndio unakuta mnatibu huko mitaani na kuua watu Figo na maini
Unywaji wa pombe unakausha maji mwilini sababu pombe ni diuretic, over some time mtu anapoteza fluids na electrolytes muhimu mwilini. Japo, kwa case yake ni wazi ni hypoglycaemia.
 
Back
Top Bottom