Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 483
- 1,100
Hakula kwasababu yakukosa pesa.Huyo hakula na wala hakunywa maji, kilichompata ni kukaukiwa maji mwilini(dehydration).
Hauhitaji mkemia, leo kunywa chupa sita za pombe na kesho kunywa chupa tatu tu za maji kipimo hicho hicho, utapata jibu.Ngoja nimcheki mkemia anifafanulie
Jamhuri[emoji1550][emoji1550][emoji1550]Sasa mbona unatoka nduki!
Sasa mbona wametengeneza pesa wewe na CAG mnawasakama badala ya kuapongeza.Hakula kwasababu yakukosa pesa.
Tanzania watu wengi wanashinda njaa...
Mkuu Nyemo bar Ni ipi pale Picha?Namfahamu[emoji24][emoji24][emoji24]
opposite na njia ya kwenda Tumbi au kituo cha basi Picha ya ndegeMkuu Nyemo bar Ni ipi pale Picha?
Kiswahili bado ni janga letuZambo alisema kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 8, mwaka huu majira ya alfajiri nyuma ya baa kwenye migomba jirani na alipokuwa akifanyia kazi.
"Nilipigiwa simu kuwa kuna mwili wa mtu aliyekufa ilibidi niende na nilipofika niliambiwa mwili umechukuliwa na polisi kupelekwa Tumbi ambapo alikuwa hajafa na alifia njiani," alisema.
🤣🤣🤣 Amesema hayo zambo ambaye ni mzee wa kitongoji🤣🤣🤣hatari sana 😅 sisi"Alichunguzwa lakini hakukutwa na jeraha lolote wala kuumia popote, hali ambayo inaonesha kuwa inawezekana pombe ndiyo ilisababisha kifo hicho," alisema Zambo.
Come doctors, come on Tanzania , what a poor PM ?
Yaani Zambo kaamua ahitimishe jambo mwenyewe habari za PM hazitaki tena.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amesema hayo zambo ambaye ni mzee wa kitongoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari sana [emoji28] sisi
Kwani hizo bia alizokunywa ni bure?Hakula kwasababu yakukosa pesa.
Huyo dada umasikini uliteka akili yake na kusababisha msongo wa mawazo.Kwani hizo bia alizokunywa ni bure?
Watz kwa uongo na upotoshaji hamjambo. Amepata hypoglycaemia kwa sababu ya sukari kushuka mwilini kwa sababu ya njaa plus pombe kali na sio dehydration. Nyie ndio unakuta mnatibu huko mitaani na kuua watu Figo na mainiHuyo hakula na wala hakunywa maji, kilichompata ni kukaukiwa maji mwilini(dehydration).
Hapana pombe hufyoza sukari iliyopo mwilini ndomana tukashauriwa kunywa na ule ,nihatari kama sukari ilishuka lazima upotezeBaada ya kulewa huenda kuna aliyemchanganyia vitu! RIP.