Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Hapana mimi kama mlinzi wako wa hewani lazima nimtambue kwanza huyo anayetaka kuonana na wewe. Ni maswala ya kiusalama tu. Akiwa vema nitakujulisha.Duh poa nimekusoma vema ngoja nione weekend hii[emoji1545]
Songea boys wanasoma wanawake tena, au ni wale wa mchana USE.Namjua huyo dada, tulisoma wote Songea Boys....
Hiyo kazi mwachie Steve NyerereNjoo geti la Msangani hapa
Kwani chai haitengenezwi na maji? Maji & majani chai= maji rangi( chai rangi)Maji ni maji na pombe ni pombe vitu viwili tofauti, hata chai haiwezi kuwa mbadala wa maji.
Mkuu kuna ile hali ukinywa pombe leo kesho unakuwa kama unatetemeka, hali hiyo husababishwa na nini?mtu kudevelop dehydration it takes some time na haiwezi kuwa immediate cause of death kwa mlevi. Mtu aliyezidiwa kwa ulevi mpe kwanza Fanta orange au mwekee asali chini ya ulimi km hajitambui km huduma ya kwanza kwa sababu sukari kushuka ( hypoglycaemia)ndio kutamuua haraka na sio dehydration
Hata baadhi ya dawa hutengenezwa na maji, na nyingine kwa unga wa mahindi(starch).Kwani chai haitengenezwi na maji? Maji & majani chai= maji rangi( chai rangi)
Aaaaameeen [emoji1548][emoji1752][emoji817][emoji818][emoji1545][emoji23]Hapana mimi kama mlinzi wako wa hewani lazima nimtambue kwanza huyo anayetaka kuonana na wewe. Ni maswala ya kiusalama tu. Akiwa vema nitakujulisha.
[emoji3]zile muhimu tuu mkuu [emoji23]Aiseh wewe ni Noma Sana.
Ushapita Kaunta Zote za Tanzania Bara na Visiwani kumbe [emoji848]
Pombe ikienda kwenye ini inavunjwa na kimengβenyo kinaitwa alchohol dehydrogenase kwenda katika kampaundi inaitwa acetylaldehyde ambayo ni sumu ambayo baadae hubadilishwa kwenda acetate na kimengβenyo kinachoitwa aldehyde dehydrogenase . Sasa hii sumu iitwayo acetylaldehyde ikizidi kwenye misuli ndio hupelekea kujisikia vibaya, kutetemeka n.k na pia husababisha cancer mbalimbaliMkuu kuna ile hali ukinywa pombe leo kesho unakuwa kama unatetemeka, hali hiyo husababishwa na nini?
Bro Mshana ndio mitaa ya home picha ya ndege?karibu river road hapa upate biaNamfahamu[emoji24][emoji24][emoji24]
Siku hizi baada ya kuleta soko pamekuwa pabaya .. Leo mnada tunaweza huko mkuu [emoji1545][emoji1752]Bro Mshana ndio mitaa ya home picha ya ndege?karibu river road hapa upate bia
Pole brother mshana jrNamfahamu[emoji24][emoji24][emoji24]
Mkubwa nawe una kashikashi siyo poa ππππKumbukumbu yangu na marehemu
Siku moja ya Ijumaa mwaka fulani nilifika bar ya River Road kwenye saa tano usiku hivi
By then ndio ilikuwa bar kubwa mitaa yote ya Picha ya ndege na karibia kila weekend ilialika bendi, lakini weekend ile hapakuwa na bendi hivyo muda huo wateja walibaki wale wa kaunta tuu
Nilikuta jamaa wawili watu wazima wameshiba wako counter
Wahudumu waliobaki muda huo walikuwa wawili tuu marehemu na rafiki yake ambaye naye alishafariki hapo hapo Picha ya ndege
Basi nikapewa signal kwamba nisikae counter nikavutiwa kiti pembeni kidogo na kimeza kisha nikapangwa,[emoji3] Kumbe wale jamaa walikuwa Masoja wa Msangani na walishakubaliana na wale mabinti waondoke nao , kumbe wale mabinti licha ya kula na kunywa vya watu lakini hawakuwa tayari
Kutoka River road mpaka barabara kuu ya lami ni kama robo km hivi, hivyo nikapanga na wale mabinti nikikaribia tu kumaliza wao wapite kushoto wakanisubirie mbele. Haya mawasiliano yalikuwa yanafanyika kwa msg muda Wote
Kumbe wale masoja walishastukia mchezo, ile nakaribia kumaliza mabinti wakapita hivi nami baada ya kama dk 3 nikapita hivi nikawasha gari nikaondoks.. Sasa kile kipande kuelekea barabarani kilikuwa na majani marefu almost kama kichaka
Ile nawakaribia kucheki kwenye site mirror naona kuna gari inakuja nyuma yangu, [emoji23] wale mabinti waakazama kichakani kujificha, mimi nikapiga double hazard na kushuka kwenye gari kama nataka kujisaidia,
Jamaa wakaja wakapita pembeni huko wanachungulia kwenye gari. Niliacha mlango wazi kidogo ili waone hakuna mtu mwingine ndani ya gari
Jamaa wakanyoosha mpaka road hola hakuna mtu[emoji23].. Sasa jamaa walipopita mabinti wakachomoka kwenye kichaka na kupanda gari.. Tunafika road tukaona gari yao wamepaki upande wa pili wa barabara kwenye petrol station ya ATN ilikuwa haijaanza kutumika
Dah wakasema hawa jamaa bado wanatufuatilia, na mipango yetu ilikuwa ni kwenda maili moja maana kwa wakati ule ndio palikuwa pamekucha.. Sasa nikinyoosha maili moja jamaa watanistukia mimi nikakunja kuelekea Picha, kuona vile jamaa wakaondoka kuelekea maili moja (kumbe walidhani wale mabinti wamekimbia na boda)
Mpaka nafika Picha ya ndege sioni gari inayonifuata hivyo nikakunja kuelekea njia ya Tumbi nikatokee Maili moja.. Kumbe jamaa wale walikiwasha mpaka TAMCO bila kuona Boda yoyote, hivyo wakastukia janja yangu na kukunja kuingia njia ya Tumbi [emoji23]
Nafika Tumbi napishana na gari yao.. Loh tukastukiana.. Sasa mimi nilikuwa na gari ndogo automatic wao walikuwa na Landcruiser short chassis old model manual... Ile mpaka wao kunistukia na kugeuza nilikuwa nimeshawaacha mbali..
Nitaendelea
So sukari kupungua ndo inacause death?Wewe ni Daktari au kanjanja? Hebu niletee case ya mgonjwa hata mmoja duniani aliyewahi kufa kwa dehydration sababu ya kunywa pombe nyingi
Ukinywa pombe kali leo kiasi kikubwa na kesho ukanywa maji mengi haja ndogo huioni nahapo ndiyo utajua hujui pombe kali inakausha mwiliHauhitaji mkemia, leo kunywa chupa sita za pombe na kesho kunywa chupa tatu tu za maji kipimo hicho hicho, utapata jibu.
Cha ajabu, wanaotoa ofa ya pombe huwa hawapendi kukuona unakula!Itakua pombe za ofa
Kabla hujanywa jihadhari, kula kwanza maana wengi wao wakianza ku
Hapa tunaweza kupata filamu kali sana, tukiongeza nyama chache.Kumbukumbu yangu na marehemu