Pongezi kwa CDF Jenerali Venance Salvatory Mabeyo

1.Ameondoa unyanyasaji na kutokufuata sheria wa vijana waliokuwa wanatoka mafunzoni, zamani walikuwa wanawapiga raia wanapokwaruzana kidogo lakini siku hizi hayo yameisha yamebaki machache sana

2.Kasababisha wanajeshi siku hizi wanasalimiana na majeshi mangine, kupendana na kuheshomiana ,siku hizi hakina maugonvi tena
 
Namjua mnadhimu Mkuu wa majeshi Mathew Mkingule ni mnyenyekevu kuliko maelezo. Kijamii anajihusisha na watu wa hali ya kawaida na bila kuambiwa huwezi kuamini kama ana cheo kikubwa kiasi hicho. Mungu azidi kutujalia viongozi wengi wa aina hii
Kwanin viongoz wa polisi hawa jifunzi Kwa wenzao wa JWTZ
 
We huoni kombati ya jeshi Hilo? Kama ni kitu binafsi why asingeweka picha aliyovaa mavazi binafsi?
Kombati ya jeshi ndo nini?

Mtu binafsi anaweza kuweka picha yake yoyote ile impendezayo kwenye kitabu chake binafsi alichokiandika.

Hakuna mahali inapokatazwa mtu kuweka picha yake mwenyewe akiwa amevalia mavazi ya kazini kwake.

Picha ni yake mwenyewe na ana haki zote za kuitumia anavyotaka madhali hajakiuka chochote kilichokatazwa.
 
Nje ya kazi zake, hicho cheo siyo lazima akiweke.

Au kuna sheria inayolazimisha hivyo?
Kwao Mama Samia akienda nyumban kwao kuchuma karafuu cheo chake cha Uraisi ana kiweka pembeni ana weza ata kutukanwa na ata majirani zake?
 
Why picha na nguo zetu then?
 
naona vurugu nyingi mno......mnisaidie jibu.....CDF Mabeyo amewahi kuongoza Kikosi Jeshi (KJ) chochote? kipi?.......
 
Mnabishana ...hewa tu

Bado Ana maisha binafsi na hajavunja Sheria hapo...
 
Sasa Kama hujui kombati Nini utajuaje kuvaa nguo ya kazi kwenye mambo binafsi ni kosa?
 
You are contradicting yourself.

Kama kitabu hajaandika kwa niaba ya serikali au jeshi, kwa nini ahitaji kuweka cheo chake cha kijeshi?
 
Unalazimisha kwamba sina amani.

Mimi nimejibu kwenye uzi ambao mtu kaanzisha, hii issue wala sikuileta mimi hapa.

Sasa wewe unaninyanyapaa kwamba mimi kuchangia hapa JF ni kukosa amani kwa sababu hukubaliani nami tu?

Unaunganisha mambo ambayo hayana uhusiano wowote.

Umezusha tu kwamba sina amani.

Kwa sababu, huna uwezo wa kukanusha hoja ya kwamba Jenerali kachanganya mambo ya dini na jeshi.

Umeshindwa hoja, unaleta viroja.
 
Now there you are! ........ it must also APPEAR to be done!
Had it been said the opposite like ........"separation of religion and state must not APPEAR to be done, it must be done. , then your argument would have been okay,
Why?
 
Kwao Mama Samia akienda nyumban kwao kuchuma karafuu cheo chake cha Uraisi ana kiweka pembeni ana weza ata kutukanwa na ata majirani zake?
Kwao Mama Samia ni mke wa tatu.

Akienda anaweka urais pembeni ana wake wawili wakubwa kwake.

Anatakiwa kuwaheshimu bila nyodo za urais.

Cheo ni dhamana. Usiitumie isipohusika.
 
Yah kiasi kikubwa umegusa penyewe. Tuishie hapo
 
You are contradicting yourself.

Kama kitabu hajaandika kwa niaba ya serikali au jeshi, kwa nini ahitaji kuweka cheo chake cha kijeshi?
Ameweka wasifu wake, hajaweka cheo chake cha kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…