Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

Huyu ni njaa ndo zinazomsukuma always! Anatafuta tonge, halafu mwishoni anaweka upuuzi eti, declaration of interest! Hafai kabisa huyu pascali. Na ukinyonga wake ndo maana hapati kitu..!!! Anauma huku anapulizia huku!
 
Pascal naona unakosa dira...kama raisi huwezi kuongea kama alivyongea Magufuli,Raisi wetu anatakiwa ajue kuwa anawaongoza watanzania zaidi ya millioni 50 wenye makabila zaidi ya 120...

Huyu jamaa(Magufuli) naona ni mkabila na mdini ni kitu ambacho amezaliwa nacho,angalia anavyomtetea Bashite kwasababu ni mtu wakabila lake...,angalia alivyowavunjia nyumba wakaazi wa Daresalam kwasababu si wa kabila lake...

Binafsi nashangaa unavyomtete Magufuli au unaogopa Nissan nyeupe yenye watu wasiojulikana😀
 
ndugu hii kalamu leo , imekuwaje nimeshindwa hata kuendelea kusoma ,,,,,, mtu ambaye hana kumbukumbu na wewe hawezi ku feel maumivu yako ,,,,, naomba psychologist wanikosoe , ni hayo
 
Too late and too little
 
Paskali waliobomolewa mbezi sio binadamu au wanaoendelea kubomolewa?
 
Raisi wangu ni jasiri sana kwani ameamua kuliweka wazi lile lililokuwa "nyuma ya pazia" kwa muda mrefu kuhusu ukabila na ukanda.
Ok, sikudhani kuwa anaweza akawa amezungumza kiukabila pale aliposema wengine hawana human face, ila kutokana na kauli yako hii, sasa nina mtizamo tofauti.

Mtu yoyote mkabila, mtu asiye na sura ya aina flani iliyojengeka ndani yake, kwenye mtizamo wake, kwasababu ya sumu ya ukabila, anaoiona kuwa siyo ya kibinadamu!

Hata wahutu na watusi walitambuana kwa vigezo vya urefu wa pua nk.

Kwahiyo asiye na pua ya aina flani inakuwa siyo ya kibinadamu machoni pake na ni rukhsa kumuuwa kinyama kabisa!

Ubaguzi huwa unakaa ndani ya mtu na ndiyo maana kuuficha ni shida!

You can’t hide who you’re, you can try, but you can never be successful on doing so.

Ni sawa na kutaka kuficha kikohozi.
 
Mkuu kwanza asante kwa bandiko hili, pili kuna kitu kikubwa sana na cha muhimu Nape amekizungumza kuhusu kauli ile ya rais Magufuli, alichokisema hata mimi nimekisema katika bandiko hili

Paskali
 
Mkuu Paschal,nakubaliana na wewe kuna hoja katika hayo
4.Bomoa bomoa kuwa ya kikanda/kibaguzi.
Yote hayo umeyasemea vipi au huoni kama yana umuhimu wa kufanyiwa kazi ili kuweka sawa mambo?
Mkuu Nkese, hili la bomoa boma, nimelizungumza hapa.

P.
 
Mkuu Barbarosa, hapa umeongea jambo la msingi sana, nimekuleta hapa ili usome na kujijibu mwenyewe, karibu.
Natumaini sasa nitakuwa nimeeleweka!, maana sisi wengine ambao ni wakosoaji, tusije tukatafsiriwa hatumtakii mema rais Magufuli, tukaja kujikuta tunapotea kama ilivyotokea kwa Ben Saanane, Azori, au kutumiwa Nissan nyeupe na pyu pyu kama Lissu.

Tanzania ni yetu sote, lazima tumtakie mema rais wetu na kulitakia mema taifa letu.

Paskali
 
Mkuu one part ya hoja yangu umelijibu vizuri kudos to you.
Mkuu cencer09 , thanks for this
Vipi kwa ile kauli kuwa wa Mwanza wasivunjiwe kwa sababu walinipigia kura, unaonaje haikuwa ubaguzi?
Karibu hapa Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…