Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

Ujasiri wa kuua, kuteka na kusema uwongo, hivyo ndiyo viatu vya Magufuli ambavyo Samia hawezi kuvivaa
Kesho saa 3:00 asubuhi tunakuomba ulipoti kituo Cha police central Dar es salaam Kwa mahojiano kidogo tafadhali sana
 
Ila kwenye miundombinu na nishati naomba niijue saikolojia aliyo cheza nayo afu vita ya ukraine imeleta maisha magumu kuliko COVID🙌🙌mifumuko ya bei ni unyonge
 
Bora ya mcheza na sakolojia lakini utendaji ukaonekana kuliko huyu asiejali chochote kuthamini mtumbo wake na washirika wake.
 
Binafsi namuona SSH ni bora kuliko mtangulizi wake hayati JPM katika angle nyingi sana.JPM alijua tu kucheza na saikolojia ya waliobatizwa jina la wanyonge."Wanyonge "wanapenda kusikia Kila siku mkurugenzi fulani katumbuliwa au katukanwa mbele ya camera.

SSH is the best
Hatutaki rais bora kulinganisha na Magufuli. Tunataka rais mwenye ubora unaokubalika. Unajua unachojaribu kusema ni kama unasifia mtihani kwa mwanafunzi aliyeshika namba 55 kwenye darasa lenye wanafunzi 60 kwa kusema ni bora kuliko aliyeshika namba 56 wakati kuna walioshika namba 1, 2, na 3 ambao ndiyo bora.
 
Mtu unatoka na ujinga wako uko unajaza jf ukiachana na maswala ya democracy magu amewazidi wengine wote alijitahidi kuanza upya kujenga nchi yenye vision ila saiv tunapambaniwa kurudishwa kwenye nchi ya bahati na sibu na kuongeza gap kati ya walio nacho na wasio nacho
 
Unaposema ni Bora kuliko mtangulizi Wake hapo ndo umekosea saana, maana Samia mwenyewe anasema JPM alikuwa jasiri na viatu vyake ni vikubwa mno hawezi kufit hata robo
Watasema ,mama ameshauriwa vibaya kusema hivyo
 
NI SAMIA TENA 2025
Rais msikivu na Mtulivu na makini katika maamuzi pia ni Mlezi wa Wana Tazama katurudishia walikuwa Benji na kuja kufanya Vizuri Kazini kama Mhe. Albert Chalamila na Leo Kamleta Paul Makonda.

Mama Na Diplomasia Nchi Imefunguka Leo hii Tunashudia Wageni wakubwa wakifika Nchini na Matunda yake Tunayaona kupitia Ujumbe wa wageni hao.

#2025 ni Yeye Samia Suluhu Hassan
 
Rais Samia Amekuwa Rais Wa Mvuto sana Kwa Watanzania katika Jitihada zake Za Kukipambania Taifa Letu Kwa Kuendeleza Miradi Mikubwa Mijini na Vijijini Leo Napita Shule ya Msingi niliposoma Kijijini Kwangu Nakuta Kuna Umeme Nashaangaa Kidogo Nakuta Tena Madarasa Yenye Malumalu na Madirisha Ya Alminium na Madawati Mazuri. Ahsante sana Mheshimiwa Rais Hakika Tunadeni la Kukulipa 2025.

#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia.
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa.
#2025 Samia Tena
 
Samia ndo nini?
 
Jukumu la mama ni kuzaa,jukumu la Baba ni kutafuta fedha Sasa tumsifie Kwa lipi
 
Rais Samia Amekuwa Rais Wa Mvuto sana Kwa Watanzania katika Jitihada zake Za Kukipambania Taifa Letu Kwa Kuendeleza Miradi Mikubwa Mijini na Vijijini Leo Napita Shule ya Msingi niliposoma Kijijini Kwangu Nakuta Kuna Umeme Nashaangaa Kidogo Nakuta Tena Madarasa Yenye Malumalu na Madirisha Ya Alminium na Madawati Mazuri. Ahsante sana Mheshimiwa Rais Hakika Tunadeni la Kukulipa 2025.

#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia.
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa.
#2025 Samia Tena
Mbona TANESCO wanasema umeme bado ni tatizo kwa sababu mabwawa hayana maji??
 
Back
Top Bottom