Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

😂😂shule ambayo ulikuwa unashinda njaa hakuna msosi
Wenzio tumekula kande na wali mseto shule ya msingi
Saivi ukitembelea Ile shule ni kama ya kizungu
 
[emoji23][emoji23] Tuzidi Ombeana Mema. Na Kuendelea kuchapa kazi na Kuyasema Yote Mazuri tulijionea Ili Kumtia Nguvu Mhe. Rais kwa Haya Yote maana Kila Siku Anawaza Ili Tuwe sehemu Gani Mbele
Kwa hiyo kufa kufaana
Umefurahiii Gekuli kutenguliwa sio?
Pukuta vumbi ile suti yako sasa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
SGR inaanza kufanya kazi lini?
Kipande Cha Dsm Moro very soon Mzigo Unaanza Lakini Pia Mapinduzi kwa Kuongeza Kipande Kutoka Dodoma Mpaka Itaenda Kuungana na Nchi Jirani Yaani Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mapinduzi haya Yataenda Kuifungua Nchi Kiuchumi na Uwekezaji katika Sekta Ya Usafirishaji na Uchukuzi.[emoji91][emoji91]
 
Huku ukitaja hilo jina hakikisha umejiandaa kisaikolojia kabisa kutukanwa
 
Rais Samia Amekuwa Rais Wa Mvuto sana Kwa Watanzania katika Jitihada zake Za Kukipambania Taifa Letu Kwa Kuendeleza Miradi Mikubwa Mijini na Vijijini Leo Napita Shule ya Msingi niliposoma Kijijini Kwangu Nakuta Kuna Umeme Nashaangaa Kidogo Nakuta Tena Madarasa Yenye Malumalu na Madirisha Ya Alminium na Madawati Mazuri. Ahsante sana Mheshimiwa Rais Hakika Tunadeni la Kukulipa 2025.

#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia.
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa.
#2025 Samia Tena
Dogo uliugua utapoamlo utotoni?
Habari za kijinga unaadika
 
Kipande Cha Dsm Moro very soon Mzigo Unaanza Lakini Pia Mapinduzi kwa Kuongeza Kipande Kutoka Dodoma Mpaka Itaenda Kuungana na Nchi Jirani Yaani Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Mapinduzi haya Yataenda Kuifungua Nchi Kiuchumi na Uwekezaji katika Sekta Ya Usafirishaji na Uchukuzi.
emoji91.png
emoji91.png
Matumizi mabaya ya neno Mapinduzi...
Mkuu badilisha Sehemu ulizoandika mapinduzi...
Maana sio maana yake halisia...
Andika Maboresho

Tumia Maboresho badala ya Mapinduzi

Mapinduzi (kutoka kitenzi "kupindua" juu chini) ni mabadiliko ya haraka upande wa siasa na miundo yanayotokana na shinikizo la wananchi, linalotumia mara nyingi nguvu.

mabadiliko ya kimsingi katika shirika au kisiasa Yanayotumia Nguvu au kupindua hasa : kupinduliwa au kuachiliwa kwa serikali au mtawala mmoja na kubadilishwa kwa serikali nyingine na wanaotawaliwa.
 
Back
Top Bottom