Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

Rais samia ni mpango wa Mungu mwenyewe kuwainua wanyonge na kuwapa matumaini, furaha na tabasamu watanzania.niliko kila mtu anamtaja Rais samia kwa mema na mazuri kila saa pasipo kupumzika wala kuchoka .Rais samia anapendwa na kukubalika na watanzania haijapata kutokea
 
Mimi nilipo kuna giza so siwezi kuona watu wakitabasamu. Bila umeme wa uhakika porojo zote ni bure
 
Matumizi mabaya ya neno Mapinduzi...
Mkuu badilisha Sehemu ulizoandika mapinduzi...
Maana sio maana yake halisia...
Andika Maboresho

Tumia Maboresho badala ya Mapinduzi

Mapinduzi (kutoka kitenzi "kupindua" juu chini) ni mabadiliko ya haraka upande wa siasa na miundo yanayotokana na shinikizo la wananchi, linalotumia mara nyingi nguvu.

mabadiliko ya kimsingi katika shirika au kisiasa Yanayotumia Nguvu au kupindua hasa : kupinduliwa au kuachiliwa kwa serikali au mtawala mmoja na kubadilishwa kwa serikali nyingine na wanaotawaliwa.
Wewe Unaona Haya Ni Maboresho Au Mapinduzi Makubwa Mkuu?
 
Huku kwetu pia ni Samia tu. Na reality ni kwamba, Inabidi uwe mjinga sana kuwaza kuwa Samia ana mpinzani 2025.
 
Back
Top Bottom