Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Kesho saa 3:00 asubuhi tunakuomba ulipoti kituo Cha police central Dar es salaam Kwa mahojiano kidogo tafadhali sanaUjasiri wa kuua, kuteka na kusema uwongo, hivyo ndiyo viatu vya Magufuli ambavyo Samia hawezi kuvivaa
😂😂😂😂 Mchoyo?Mmmmh!! Kwa alivyotunyoosha na uchoyo wake unamsahauje!!!
Hatutaki rais bora kulinganisha na Magufuli. Tunataka rais mwenye ubora unaokubalika. Unajua unachojaribu kusema ni kama unasifia mtihani kwa mwanafunzi aliyeshika namba 55 kwenye darasa lenye wanafunzi 60 kwa kusema ni bora kuliko aliyeshika namba 56 wakati kuna walioshika namba 1, 2, na 3 ambao ndiyo bora.Binafsi namuona SSH ni bora kuliko mtangulizi wake hayati JPM katika angle nyingi sana.JPM alijua tu kucheza na saikolojia ya waliobatizwa jina la wanyonge."Wanyonge "wanapenda kusikia Kila siku mkurugenzi fulani katumbuliwa au katukanwa mbele ya camera.
SSH is the best
Kwenye uchumi hakuwa bora but kuna vitu alithubutuMmmmh!! Kwa alivyotunyoosha na uchoyo wake unamsahauje!!!
Watasema ,mama ameshauriwa vibaya kusema hivyoUnaposema ni Bora kuliko mtangulizi Wake hapo ndo umekosea saana, maana Samia mwenyewe anasema JPM alikuwa jasiri na viatu vyake ni vikubwa mno hawezi kufit hata robo
Samia ndo nini?Rais Samia Amekuwa Rais Wa Mvuto sana Kwa Watanzania katika Jitihada zake Za Kukipambania Taifa Letu Kwa Kuendeleza Miradi Mikubwa Mijini na Vijijini Leo Napita Shule ya Msingi niliposoma Kijijini Kwangu Nakuta Kuna Umeme Nashaangaa Kidogo Nakuta Tena Madarasa Yenye Malumalu na Madirisha Ya Alminium na Madawati Mazuri. Ahsante sana Mheshimiwa Rais Hakika Tunadeni la Kukulipa 2025.
#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia.
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa.
#2025 Samia Tena
Rais Samia Ametuondolea Hili Janga saizi Mambo Ni MuluaWapi huko mnahangaika na madarasa hadi leo?
Mbona TANESCO wanasema umeme bado ni tatizo kwa sababu mabwawa hayana maji??Rais Samia Amekuwa Rais Wa Mvuto sana Kwa Watanzania katika Jitihada zake Za Kukipambania Taifa Letu Kwa Kuendeleza Miradi Mikubwa Mijini na Vijijini Leo Napita Shule ya Msingi niliposoma Kijijini Kwangu Nakuta Kuna Umeme Nashaangaa Kidogo Nakuta Tena Madarasa Yenye Malumalu na Madirisha Ya Alminium na Madawati Mazuri. Ahsante sana Mheshimiwa Rais Hakika Tunadeni la Kukulipa 2025.
#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia.
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa.
#2025 Samia Tena
Ndiye Rais wakwanza Wa Jinsia ya Kike kwa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu.Samia ndo nini?
Tanesco walipewa Mda Kidogo wa Kufanyia Ufumbuzi suala Hilo na Mhe. Naibu Waziri Mkuu nadhani Wapo katika Utimizaji.Mbona TANESCO wanasema umeme bado ni tatizo kwa sababu mabwawa hayana maji??
Ndio Ulipoishia Kutafakari Ndugu?Jukumu la mama ni kuzaa,jukumu la Baba ni kutafuta fedha Sasa tumsifie Kwa lipi