Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

Rais samia ni mpango wa Mungu mwenyewe kuwainua wanyonge na kuwapa matumaini, furaha na tabasamu watanzania.niliko kila mtu anamtaja Rais samia kwa mema na mazuri kila saa pasipo kupumzika wala kuchoka .Rais samia anapendwa na kukubalika na watanzania haijapata kutokea
 
Mimi nilipo kuna giza so siwezi kuona watu wakitabasamu. Bila umeme wa uhakika porojo zote ni bure
 
Wewe Unaona Haya Ni Maboresho Au Mapinduzi Makubwa Mkuu?
 
Huku kwetu pia ni Samia tu. Na reality ni kwamba, Inabidi uwe mjinga sana kuwaza kuwa Samia ana mpinzani 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…