Pongezi kwa Yanga sc na wana Yanga wote kwa ushindi mnono huko Tunis. Yanga dumuni na Kocha Nabi atawafikisha mbali

Mkuu huwa nafarijika sana unapoweka comment yako kwenye hili jukwaa hata kama wewe ni mnazi wa yanga ila mpira unaujua sana hakika hili jukwaa lingekuwa na mvuto zaidi wangepatikana watu 10 tu dizaini yako
 

Mkuu ToniXrated hongera kwa bandiko lililoonyesha ukomavu mkubwa.
Uandishi kama huu unaweza kuwafanya wadau wengi wa JF wanaopenda ku "urgue Objectively" kuanza kuchangia mada za kimichezo. Mkuu ToniXrated sijui Imani yako hata hivyo naomba uniruhusu niseme kwamba usipokuwa mwangalifu kwenye football unaweza kumkufuru Muumba wako. Nikuhakikishe kwamba "There is a spirit operating behind football addiction" ndio maana unakuta watu hata wasomi na shahada zao wanatetea timu zao za Simba na Yanga kuliko hata wanavyotetea Imani zao. Ukitaka kuthibitisha nilichosema, hebu angalia mahudhurio ya Ibada au fellowships zinazofanyika siku ambazo kuna mechi za Yanga au Simba.
Naomba kuwasilisha.
Ahsante
 
Yes nakubali ulichokiandika...nlipokuwa mdogo nilikuwa napenda sana mpira yaani yale mapenzi ya kuumia moyo kabisa. Ila kuna siku nlikaa chini nikatafakari nikagundua ni upuuzi kuumia kwa kitu ambacho hakina manufaa kwangu wachezaji wanacheza ovyo, wanafungwa ila game ikiisha huwa wanacheka na kupeana mikono ila mashabiki tunatoka tukihuzunika na kulia. So nliacha ushabiki huo ,now m watching it for fun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…