Pongezi kwake Mange Kimambi

Pongezi kwake Mange Kimambi

Serikali imeamua inamtibu imeshagundua mnatapeliwa wadanganyika wakubwa nyie,kama umechangia umeliwa.Unahangaika kuchanga kijijini kwenu huaenda miaka 12 unawapa watu pesa waende Nairobi.Boya wewe.
Ni ajabu sana pale ambapo lengo lenu la kumuua limeshindikana then mnataka kujiosha dhambi zenu kwa njia ya kutaka kugharimia matibabu yake.

Hayo maneno aliyoyasema mwakilishi wenu mbona hakuyasema siku ile ya kwanza!?

Huku kunaitwa KUTAPATAPA baada ya njama zenu kufeli.
 
Ni ajabu sana pale ambapo lengo lenu la kumuua limeshindikana then mnataka kujiosha dhambi zenu kwa njia ya kutaka kugharimia matibabu yake.

Hayo maneno aliyoyasema mwakilishi wenu mbona hakuyasema siku ile ya kwanza!?

Huku kunaitwa KUTAPATAPA baada ya njama zenu kufeli.
Mnataka mpewe posho sasa zimetumwa kwenye account ya hospitali ndio maana mmerudi bongo mlitarajia mpewe 43m mpasue starehe tumelipa direct hospitali.
 
Ili akamilishe hizo ' Sifa ' zako zote ulizompa hapo inambidi pia awe ' Mzalendo ' wa kweli kwa nchi yake ya Tanzania kwa kuitangaza vyema pia huko huko alipo na siyo ' kutegea ' tu mambo ' negative ' yanayotokea huku ' Bongo Land ' kisha anayatumia kwa ' maslahi ' yake ya Kiharakati na Kisiasa CHADEMA zaidi.

Yes ni ' Mwerevu ' na ni mfano mzuri wa ' Kuigwa ' hasa kwa Watu wanaopenda kufikiri outside the box ila ana mapungufu ya Kimsingi ya kutokuwa Mzalendo, Mvumilivu, hana Staha na amewekeza sana kwa kupenda kuwa emotional hata katika mambo ambayo hayahitaji nguvu au akili nyingi kuyakabili.

Mwisho mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni na kama kawaida yangu sijaumbwa kuwa ' Mnafiki ' na huwa ' nanyooshaga ' tu maelezo ni kwamba pamoja na hayo ' mapungufu ' yake ila Mange Kimambi amesaidia sana kuwafanya ' Watendaji ' wengi kuwa makini na 'Utendaji ' wao, amesaidia kuwafanya Watanzania wawe na uwezo wa Kuhoji, Kutathmini na Kuchambua mambo kwa mapana yake lakini pia amesaidia kutufanya Sisi wana Jamii tuishi kwa nidhamu na uangalifu mkubwa ili tusije kuharibu ' Heshima ' zetu katika Jamii.

Mtazamo wangu Kwake ni kwamba Mange Kimambi ana faida nyingi kuliko hasara na ni ' mtaji ' mzuri sana kwa Serikali au Jamii inayohitaji ' maendeleo ' hasa yanayoanzia katika ' Fikra ' na kwenda katika ' Utekelezaji ' na kama akitumika kama ngazi ya kuipeleka Tanzania katika ' mafanikio ' itapendeza mno kuliko kuonekana kama ' adui ' namba moja wa nchi / taifa / Serikali.

Yangu ni hayo tu Mkuu


Akhsante na tuko pamoja Mkuu.
Hua nakuheshimu Sana GENTAMYCINE
Japo sijawahi kukwambia.

Nilidhani ungekuja kuchafua hali ya hewa.
Nimekusoma na umesema wewe sio mnafiki! Nimelinganisha maoni yako nimeafikiana na unachokisema.

Big up Sana.
Ukweli usemwe pale inapobidi.
 
huyo mange alikuwa demu wangu ndio nilimwondoa ucchana wake..... now yupo na mzungu nilimtosa coz nilipata demu mkali xana Enzi zile yy alijua badae xana alivyo ona cmpatilizi tena
 
Hua nakuheshimu Sana GENTAMYCINE
Japo sijawahi kukwambia.

Nilidhani ungekuja kuchafua hali ya hewa.
Nimekusoma na umesema wewe sio mnafiki! Nimelinganisha maoni yako nimeafikiana na unachokisema.

Big up Sana.
Ukweli usemwe pale inapobidi.

Akhsante sana Mkuu kwa compliments zako nzuri na za dhati kabisa Kwangu. Tupo pamoja mno Mkuu.
 
Huyu mange sipati picha 2020 atakavyoinyoosha CCM. Maguful lazma atafanya juu chini amnyamazishe kabla ya 2020. Mange ni nyokooooooo.
 
Nenda tena you tube afu useme alikiba ana ngap na mond ana nga
 
pongezi sana dada Mange. hata Mbowe amemshukuru Mange kwa kuhamasisha watu kuchangia.
 
Hii michango inanishangaza saana mimi?sishangazwi na huyu dada na ushawishi wake,nashangazwa na wanaochanga?je zitafikia lengo?naona utapeli hapa,watanzania 5000000 wakichangia 1000 moja tu ni pesa kiasi hicho,je ni za matibabu tu ya lissu,au ni dili la makengeza?
Acha ujinga wewe
 
Me nimeamua sichagi mpaka nijue nani anayekabidhiwa hizi pesa,tumlete hapa jukwaani tuanzishe uzi wakujadili maisha yake ya kabla na utaunzaji wake wa fedha kabla hutajampa hizi tunazochanga!

Ndio mana nahoji kabla hatujachanga.Hao unaosema walifuatilia na kupiga risasi pia waliomba michango humu?kama waliomba samahani sikuona huo uzi mkuu.
Haya za Kagera nani alipewa
 
Anamtukana rais wetu matusi, rais ni icon ya taifa so kwa kumtukana tu rais anaitukana tanzania nzima akiwemo na yy sababu ni mtanzania. And rais tulimchagua kwa majority vote hivyo ni rais wa wote walomchagua na wasio mchagua. So wewe kama upo nje ya nchi then unamtukana rais, hapo unatukana taifa zima la tanzania.
Hajanitukana mimi
 
Back
Top Bottom