Bro wewe hujawahi kuzini?

Hapo ulipo huenda una mademu si chini ya watatu na bado unanunua malaya.

Ila upo mstari wa mbele kabisa kuwasema dada zetu.
 
nimegundua kwanini jamaa alikuzalisha alafu akakukimbia unakiburi sana chakujiona wewe ndo kila kitu
 
Kinachowapa jeuri ya kumsimanga ni ule uthibitisho (mimba). Kama uzinzi mbona wengi wanafanya kila haijulikani?

Una udhuru gani wa kumsimanga mwenzio kwa kilekile unachofanya?
 
wao wenyewe wamekwambia hawapendi wanachofanyiwa?
Na kama umeanzisha uzi huu kisa haupendi wakisemwa kwa nini na sisi tusianzishe uzi kwa tusichokipenda ambacho ni nyie singo maza?
Kwa hiyo unasapoti hii tabia?
 

Tatizo hapo ni kuzini au kuzaa? Tatizo wanadamu tunaishi kwa kuogopa wanadamu wenzetu dhambi ikileta matokeo yanayoonekana ndio inaitwa dhambi mijitu inaanzisha kila siku thread za kuzini na kuhamasisha uzinzi mbona hamkemei?

Hata kanisani watu wanaamkia kwa mabwana zao wanaenda kuimba kwaya ila siku wakipata mimba wenyewe wanajisogeza nyuma hadi warudishwe kundini ndio wanaendelea na maisha ya kawaida ya kikristo, wakati huo mtu amekuwa akizini miaka nenda rudi ila kwa vile dhambi yake haijadhihirika mbele ya mwanadamu basi burudani tu.
 
Kwa hiyo unasapoti hii tabia?
nasupport kuwasema hapa jukwaani ilikukemea huu ujinga wa kuasingle maza ..wewe mtu hajakuoa unazaanae watu wamaana wenye nia ya kuoa unawakataa alafu ukikimbiwa ukaachiwa mtoto unalialia.
NOTE: with exception ya wanaokimbiwa wakiwa ndani ya ndoa ambao ni asilimia chache sana au wanaofiwa na waume zao

Tunawaambia haya sio kwamba hatuwapendi bali ni ukweli tunaletewa mizigo nyumbani for instance mimi wadogo zangu wawili wakike ni single maza nnaona wanavyokiwa mzigo unategemea tutetee huu upuuzi
 
Kiukweli kuna wanaume wanatuaibisha sana hasa humu jamii forum, nakolezea tu ukimchukia mtu usihangaike na wengine wamchukie, anayetaka kuoa acha akomar na hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…