Sijawahi kudharau na kuja kudharau na waheshimu sana kwa hustle zao pia...
 
Waliozaa baada ya kukimbiwa na waliowapa mimba wamejiwekea amani Na furaha ya maisha yao ya baadae,.

Ole wako ww utoae mimba sasa utambue ya kwamba hutakuwa sister duu miaka yote.
Iko siku utabaki peke yako na uwezo Wa kuzaa hutakuwa nao na furaha yako ambayo umeiweka kwa wanaume itapotea. Wanaume hawatakufuta miaka yote. Iko siku watakukimbia kwakuwa huna mvuto, uzee umekujaa hapo ndio utawakumbuka wale watoto uliokuwa unawachoropoa.

Faraja yako ni mtoto wako pekee, huyo ndio atakufariji wakat Wa shida Na raha!!!

Big up single mama kwa kutambua maisha ya baadae
 
Npo mzima... naona leo mama zetu mmekmbukwa
Umefanya nirudi mwanzo wa uzi jirani. 🤣🤣🤣

Sio leo tu jirani si umeona post ya kwanza ilivyoshiba kwa muunganiko wa Posts za members kibao wakitupa pongezi.
 
Naaam... tumewapa pongezi tunawajali nakuwapenda.
Umefanya nirudi mwanzo wa uzi jirani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sio leo tu jirani si umeona post ya kwanza ilivyoshiba kwa muunganiko wa Posts za members kibao wakitupa pongezi.
 
Ahsanteni kwa hilo. Japo iwe kimoyoni moyoni sasa jirani sio kimaandishini pekee.
Sawa sawa. Tutajitahidi. Ndio kwanza tumeanza kwa hili..... ila tukiwaoa basi msirud kule kwa wazamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…