Pongezi kwenu Single Mothers
Nawasalimu kwa Jina JF, upendo uendelee.

Nimekuwa nikipitia thread mbalimbali katika jukwaa hili, nimekuja kugundua baadhi ya watu wameumizwa sana na mahusiano.

Mara nyingi nimeona wanaume wakilalamika kuhusu walivyoumizwa na single mamaz, lakini pia wapo walliooa mabinti wakiwa bikra lakini wakawaumiza sana.

Kupitia malalamiko haya nikaibuka na swali hili ambalo limenitatanisha.

Swali lenyewe ni hili: Kipi kinaumiza zaidi, kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto, lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa?

Wanaume tiririkeni.
 
Swali lenyewe ni hili: kipi kinaumiza zaidi,kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto,lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa??

Wanaume tiririkeni.
Hapo umesema single mom aliyetulia, sasa huko kuumia kunatoka wapi?

Nadhani kwenye mahusiano, jinsia zote mbili zinawish kuwa na mwenzi aliyetulia.
 
"single mama aliyetulia"
Ngoja waje...
Hata huyo ambaye anakuzalia mtoto wa nje ndani ya nyumba ni wale wale single mama,
Unajua kuna wanawake wengine wamezaliwa wawe single mother.
Yaani ndoa kama ndoa haziwapendezi, ila usingle mama ndiyo unawapendeza.
 
Hapo umesema single mom aliyetulia, sasa huko kuumia kunatoka wapi?

Nadhani kwenye mahusiano, jinsia zote mbili zinawish kuwa na mwenzi aliyetulia.
Yap ni kweli mkuu,lakini kuna wanaume wanaoa single mom watulivu lkn anaumia sana kulea mtoto ambaye sio wake,ndio maana wengine huwaambia wawapeleke kwa baba mzazi au kwa bibi zao
 
Mimi binafsi baada ya kuachanaga na demu wangu wa kwanza sijawahi kua serious na mapenzi tena.

Kuumizwa hakuwezi kuwa determined na mdada kua bikra, single mothers au shangazi ni mategemeo, imani na matumaini uliyoweka/uliyoyaweka kwa unaemdate.
 
Ni sawa mkuu,lakini we unaona ni kipi chenye afadhali,yani mfano umeambiwa uchague kati ya hao wanawake hapo juu,na hamna wengine utamchagua yupi?[emoji848]
 
Nawasalimu kwa Jina jf,upendo uendelee.

Nimekuwa nikipitia thread mbalimbali katika jukwaa hili,nimekuja kugundua baadhi ya watu wameumizwa sana na mahusiano.

Mara nyingi nimeona wanaume wakilalamika kuhusu walivyoumizwa na single mamaz,lki pia wapo walliooa mabint wakiwa bikra lakini wakawaumiza sana.

Kupitia malalamiko haya nikaibuka na swali hili ambalo limenitatanisha.

Swali lenyewe ni hili: kipi kinaumiza zaidi,kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto,lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa??

Wanaume tiririkeni.
Hapo yote majanga. Hakuna afadhali moyo wa mwanaume ndo utakaoamua hatima ya ndoa hizo
 
Ni sawa mkuu,lakini we unaona ni kipi chenye afadhali,yani mfano umeambiwa uchague kati ya hao wanawake hapo juu,na hamna wengine utamchagua yupi?[emoji848]
Ni ngumu kusema moja kwa moja...lkn kusema za ukweli single mazaz siwezi oa, shangazi ndo kbs sitaki kuoa hawa ni wa nyegemshindo tu, hawa wengn at least naweza shawishika siku Moja nikaweka ndani
 
Nawasalimu kwa Jina jf,upendo uendelee.

Nimekuwa nikipitia thread mbalimbali katika jukwaa hili,nimekuja kugundua baadhi ya watu wameumizwa sana na mahusiano.

Mara nyingi nimeona wanaume wakilalamika kuhusu walivyoumizwa na single mamaz,lki pia wapo walliooa mabint wakiwa bikra lakini wakawaumiza sana.

Kupitia malalamiko haya nikaibuka na swali hili ambalo limenitatanisha.

Swali lenyewe ni hili: kipi kinaumiza zaidi,kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto,lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa??

Wanaume tiririkeni.
Yote magumu. Ila kuja kuchitiwa na mpaka kuzaliwa mtoto. Mhh hilo ni gumu sana.
 
Back
Top Bottom