Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Mods wapuuzi wameifuta.😂😂😂 niliiona sijui aliwaza nini Notorious thug
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods wapuuzi wameifuta.😂😂😂 niliiona sijui aliwaza nini Notorious thug
Hapo umesema single mom aliyetulia, sasa huko kuumia kunatoka wapi?Swali lenyewe ni hili: kipi kinaumiza zaidi,kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto,lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa??
Wanaume tiririkeni.
Yap ni kweli mkuu,lakini kuna wanaume wanaoa single mom watulivu lkn anaumia sana kulea mtoto ambaye sio wake,ndio maana wengine huwaambia wawapeleke kwa baba mzazi au kwa bibi zaoHapo umesema single mom aliyetulia, sasa huko kuumia kunatoka wapi?
Nadhani kwenye mahusiano, jinsia zote mbili zinawish kuwa na mwenzi aliyetulia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Bola Robot wa ElonyMusk
Ni sawa mkuu,lakini we unaona ni kipi chenye afadhali,yani mfano umeambiwa uchague kati ya hao wanawake hapo juu,na hamna wengine utamchagua yupi?[emoji848]Mimi binafsi baada ya kuachanaga na demu wangu wa kwanza sijawahi kua serious na mapenzi tena.
Kuumizwa hakuwezi kuwa determined na mdada kua bikra, single mothers au shangazi ni mategemeo, imani na matumaini uliyoweka/uliyoyaweka kwa unaemdate.
Hapo yote majanga. Hakuna afadhali moyo wa mwanaume ndo utakaoamua hatima ya ndoa hizoNawasalimu kwa Jina jf,upendo uendelee.
Nimekuwa nikipitia thread mbalimbali katika jukwaa hili,nimekuja kugundua baadhi ya watu wameumizwa sana na mahusiano.
Mara nyingi nimeona wanaume wakilalamika kuhusu walivyoumizwa na single mamaz,lki pia wapo walliooa mabint wakiwa bikra lakini wakawaumiza sana.
Kupitia malalamiko haya nikaibuka na swali hili ambalo limenitatanisha.
Swali lenyewe ni hili: kipi kinaumiza zaidi,kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto,lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa??
Wanaume tiririkeni.
Ni ngumu kusema moja kwa moja...lkn kusema za ukweli single mazaz siwezi oa, shangazi ndo kbs sitaki kuoa hawa ni wa nyegemshindo tu, hawa wengn at least naweza shawishika siku Moja nikaweka ndaniNi sawa mkuu,lakini we unaona ni kipi chenye afadhali,yani mfano umeambiwa uchague kati ya hao wanawake hapo juu,na hamna wengine utamchagua yupi?[emoji848]
Asante mkuu kwa maoni yakoNi ngumu kusema moja kwa moja...lkn kusema za ukweli single mazaz siwezi oa, shangazi ndo kbs sitaki kuoa hawa ni wa nyegemshindo tu, hawa wengn at least naweza shawishika siku Moja nikaweka ndani
Yote magumu. Ila kuja kuchitiwa na mpaka kuzaliwa mtoto. Mhh hilo ni gumu sana.Nawasalimu kwa Jina jf,upendo uendelee.
Nimekuwa nikipitia thread mbalimbali katika jukwaa hili,nimekuja kugundua baadhi ya watu wameumizwa sana na mahusiano.
Mara nyingi nimeona wanaume wakilalamika kuhusu walivyoumizwa na single mamaz,lki pia wapo walliooa mabint wakiwa bikra lakini wakawaumiza sana.
Kupitia malalamiko haya nikaibuka na swali hili ambalo limenitatanisha.
Swali lenyewe ni hili: kipi kinaumiza zaidi,kuoa single mom aliyetulia au kuoa mwanamke asiyekuwa na mtoto,lakini akaja kukuzalia mtoto wa nje ndani ya ndoa??
Wanaume tiririkeni.
Asante kwa mchango wakoYote magumu. Ila kuja kuchitiwa na mpaka kuzaliwa mtoto. Mhh hilo ni gumu sana.
Tomboy kwa raha zake