Pongezi kwenu Single Mothers
Kuna msemo wa kizungu kwamba "the first bite is the deepest" huwezi kubadili feelings na passion ya mtu alie anza nae ata ufanye je yule atabaki mwoyoni mwake kama reference yake kwako, ili limenikuta ni kalikimbia mapema, ila naona rafiki zangu wawili hili linawatesa wale ma singo maza wao wana wapelekesha kila jambo family quarrals kila siku

leo nime watolea uvivu na nika wambia ukweli kulingana na nilio pitia mimi mwenyewe ni kiwa na singo maza, kwamba bora uumwe ugonjwa wa salatani hatua ya tatu kuliko kuoa hao watu walio zalishwa na wanaume wengine kwasbb cancer level three unameza tu vidonge vitatu kila baada ya mwezi na unapona, kuliko kero zao haziishi mpaka ufe au afe yeye, zinambukizwa ata kwa kizazi chako.
 
Kuna msemo wa kizungu kwamba "the first bite is the deepest" huwezi kubadili feelings na passion ya mtu alie anza nae ata ufanye je yule atabaki mwoyoni mwake kama reference yake kwako, ili limenikuta ni kalikimbia mapema, ila naona rafiki zangu wawili hili linawatesa wale ma singo maza wao wana wapelekesha kila jambo family quarrals kila siku

leo nime watolea uvivi na nika wambia ukweli kulingana na nilio pitia mimi mwenyewe nikiwa na singo msza, kwamba bora uumwe ugonjwa wa salatani hatua ya tatu kuliko kuoa hao watu walio zalishwa na wanaume wengine kwasbb cancer level three unameza tu vidonge vitatu kila baada ya mwezi na unapona, kuliko kero zao huziishi mpaka ufe au afe.
Dem wa kimachame tangu akuchanganye yani umechanganyikiwa.

Mkabidhi Yesu na kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein maisha yako.

adriz
 
Kwa leo usitegemee kama ntakuunga mkono kuna demu wa namna hiyo namvizia usije kuniharibia ngoja kwanza anikatae nikipata hasira ntarudi
 
20240730_164023.jpg
 
Kwa leo usitegemee kama ntakuunga mkono kuna demu wa namna hiyo namvizia usije kuniharibia ngoja kwanza anikatae nikipata hasira ntarudi
Mkuu hapo unatafuta ugonjwa wa kudumu bora utongoze house girl ambae aja zalishwa kuliko grafuate ambae kazalishwa na dume lingine hapo ni kama inanunua kesi.
 
Mkuu hapo unatafuta ugonjwa wa kudumu bora utongoze house girl ambae aja zalishwa kuliko grafuate ambae kazalishwa na dume lingine hapo ni kama inanunua kesi.
Mi ni katili ila we jamaa ni katili sana
 
Mkiambiwaga msioe wake za watu Huwa hamuelewi 😂😂😂😂

Pole msela ulio muoa yule Dem niliyemzalisha ,mlikutana kinondon nazan ukanogewa ukaoa Kwa harusi kbs Cha ajabu hata mwezi Kwenye ndoa hamjaka Dem wako anaanza nitafuta ......aiseé pole nasema poleee.
 
Wanatafuta huduma sio mapezi kwako tena, mapenzi ali yaacha aliko anzia.
Mapenzi kwasasa bila hizo huduma , ni ngumu kuyapata ni bora uishi kulingana na wakati , kuokoa afya ya akili mkuu .
 
Back
Top Bottom