Pongezi, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu Antipas Lissu

Lissu, Lema na Heche hawa watu ni muhimu sana kwa nchi hii
 
Acha ushauri mwingi wewe.

Washauri Lumumba waongeze kuchapisha fomu za wagombea urais moja haitoshi na sio demokrasia.

Kisha mpige kura na kuhesabu live kana Chadema.
 
Ni wale wenye hekima na busara ambao hawawezi kukaa kwenye mazingira ya makelele na mdomo bila mipango.

Inasekekana watajiengua Chadema kwa makundi makundi na kwa awamu tofauti tofauti watapokelewa na watajiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, kwa nyakati tofauti.

Kama mdau wa siasa za ndani ya Chadema, ukipima vizuri na kutathmini mambo haya kwa kina, unadhani waliopo pale Chadema, nani hapendi kelele na mdomo, na kwahivyo itakua vigumu kufanya siasa ndani ya chama hicho, na hekima itamuelekeza kujiengua?🐒

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nimefurahishwa sana na ushindi wa Lissu kwenye uenyekiti wa CHADEMA. Kiukweli huu ni ushindi mkubwa sana kwa Chama Cha Mapinduzi kwa wiki hii.

Chama kimecheza karata yake vizuri kuhakikisha mtu asiye na busara wala uvumilivu wa kisiasa anakuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili kuharakisha anguko la CHADEMA.

Imechukua miaka mingi na mbinu mbalimbali kumtoa madarakani jabali la siasa za upinzani Tanzania, Ndugu Mbowe ila ikawa ngumu. Fursa ilivyojitokeza wanaCCM tukaitumia vizuri.

WanaCCM tulijifanya tunamsapoti Mbowe ili Lissu apate kura za hasira toka kwa wajumbe wa mkutano mkuu na bahati nzuri mambo yameenda kama yalivyopangwa.

Kwa dhati kabisa ninawashukuru Ntobi na Yericko Nyerere kwa kuhakikisha wanatoa kauli za kuwakera wajumbe na Team Lissu ili kuongeza kura za hasira kwa Lissu. Mbowe atakuwa kapata fundisho la maisha kutojihusisha na vijana wasio na nidhamu.

Kwa hapa JF nampongeza Lucas na Tlatlaah kwa kuhakikisha wajumbe wanapata hasira na kumpiga chini jabali lililotusumbua sana.
 
Bado unaugulia maumivu. Vigogo wa Chadema ni Lissu na Heche kwa sasa. Wengine wote wakitaka kuondoka waondoke hawana impact. Kura zimeamua. Tuangalie na sisi na Ccm yetu.
 
Sawasawa... Penati ya wazi hiyoo.
 
Waende tu, Lisu tunaye na tunaringa naye.
 
Lema didim it very well, that man of God May he be Blessed, his chidren and His Family
 
🍞🍞kula mkate mkwanza
 
Wewe siyo ulisoma tu kwa yale magari ya njano itakuwa ulisoma Angani
 
Haya bubujikwa na uharo basi huku ukikimbia barabarani
 
si kweli ndungu masumbuko, usiwapotoshe wadau,

mimi ni mtaalamu wa siasa na kwahivyo siasa haiwezi kunibabaisha ndugu yangu masumbuko [emoji205]
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…