Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Hawalipwi mishahara ila wapo wanaolipwa posho za chakula, malazi na usafiri wanapoenda kwenye mikutano na kazi za chama.Ikiwa walikuwa wanapata mil 300 mwaka 2015-2020 Ila bado hakuna aliyekuwa analipwa
Wazungu wameibadili sana Africa kwa mema mengi sana tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, ni vizuri kushauriwa na wenye akili kubwa waliokutangulia au kukuzidi.Una mshauri kitu gani mtu ambae yupo coached na wazungu.
Na mwenyewe alivyo ropo-ropo afichi; anaweka wazi kabisa huko ubelgiji inabidi aende mara kwa mara kuongea na washauri wake.
Sasa, wewe utamshauri nini
Tundu Lisu si alisema kuna pesa kibao makao makuu michango ya nini sasa?Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mh Mwenyekiti / Makam Mwenyekiti Taifa (Lissu / Heche) hongereni kwa ushindi uliotukuka, na amani ya Bwana ikawe juu yenu ,katika tekeleza majukum yenu, na imekua chini ya Mungu wetu ,atupae Pumzi.
Rejea mada tajwa hapo juu,
Msitishwe kwamba mtaendeshaje chama , wenye chama ni wanachama ambao mie ni mmoja wapo , pesa zipo kwetu , ni jukum lenu tangaza utaratibu wa mapema kwanza na haraka iwezekanavyo tuanze wapatia mapesa ili muendeshe chama bila stress.
kazi yunu ni moja tu ,kutupatia namna ya kuwakilisha michango , mimi kama mbangaizaji nipo na laki na hamsini mfukoni ,kama kianzio cha mchango wangu binafsi ,sina utaratibu naitumaje kwenye chama.
Tafadhali sana tupeni utaratibu.
Thanks
If only, it were that simple.Wazungu wameibadili sana Africa kwa mema mengi sana tangu enzi za ukoloni mpaka sasa, ni vizuri kushauriwa na wenye akili kubwa waliokutangulia au kukuzidi.
Gwamaka Uswege Wa Mbarali Mbeya, Wewe Na Kiingereza Wapi na Wapi Masta....???Lema was a man of the show.
He has completely dismantled an old blood libel and scandalous rumor that CHADEMA is a CHAGGA Party. CCM's propaganda machine is currently disarmed and docile.
CCM has no other weapon. It's game on.
Personal Advice.
1. Focus on reforms, not election.
2. Be watchful, but never isolate Mbowe.
3. CCM is going indignant and berserk, so use MARIDHIANO to buy yourself time. Use caution, don't turn the tables completely. Be wise, be prudent, play smart.
4. Spend every party resource in rejuvenating grassroot party branches, and enhance transparency in expenditure.
5. The main agenda for CHADEMA, 2025 and beyond, should be themed upon Major Constitutional Reforms. This will help, transform CHADEMA from a mere political party into a living ideology, making a party relevant for the coming years.
KabisaHuyu jamaa English yake iko smart sana, atakuwa kasoma mtaala wa Cambridge
Ha ha ha ndo kazi anayoiweza kuropokaAnazunguka kwenye media kuropoka eti atazuia uchaguzi kwa maandamano 😂😂😂
Hamuishiwi maneno!Ha ha ha ndo kazi anayoiweza kuropoka
Haya Naona Umeshaingiza Siku Mkuu Wako Wa Propaganda Ameshaiona Upo Kwenye Orodha Ya Kupata Posho LeoWakuu
Tuliokua tunawaambia lisu ni jamii ya watu wavivu wanaopenda kuongea tu bila vitendo mtakua mshaanza kutuelewa.
Mheshimiwa Mbowe alikua mchapa kazi kweli kweli ila ndio hivyo demokrasia imemkataa.
Lisu toka achaguliwe hashindi ofisini,anashinda nyumbani tu akilewa konyagi.nasikia eti anataka kuchangisha pesa za kuanza ziara ya kujitambulisha mikoani,sijajua anaenda kujitambulisha kwa nani asiyemjua nchi hii.
Labda mnisaidie kuniambia toka Lisu achaguliwe amefanya kazi gani ya maana ndani ya chadema?
Mwenzie Trump wameingia wote siku moja madarakani,ila tayari keshaanza kuchapa kazi..yeye kutwa kushinda anakunywa konyagi tu.Ni wakati wa mapumziko kidogo, kukesha siku 3 mfululizo jamani mwacheni atulie kwanza ama mlitakaje watanganyika nyie bana.
Mfuate Mikocheni ukamfulie boxer. Ulitaka Lissu akiingia ofisini aitishe press waone anavyofanya kazi? Ya kwenu huko CCM yamewashinda mnahangaika na Lissu.Wakuu
Tuliokua tunawaambia lisu ni jamii ya watu wavivu wanaopenda kuongea tu bila vitendo mtakua mshaanza kutuelewa.
Mheshimiwa Mbowe alikua mchapa kazi kweli kweli ila ndio hivyo demokrasia imemkataa.
Lisu toka achaguliwe hashindi ofisini,anashinda nyumbani tu akilewa konyagi.nasikia eti anataka kuchangisha pesa za kuanza ziara ya kujitambulisha mikoani,sijajua anaenda kujitambulisha kwa nani asiyemjua nchi hii.
Labda mnisaidie kuniambia toka Lisu achaguliwe amefanya kazi gani ya maana ndani ya chadema?